Ninahisi mume wangu nae anahusika kwa hili kila siku anaondoka anasema anaenda msiba wa kaka yake akirudi ni usiku saa sita na hataki nihudhurie msiba anadai nimechoka sana nipumzike ili nirudishe nguvu
Nikama ananichota akili kwa njia zisizoonekana nikama wanachukua kila kilicho changu kwa njia zisizoonekana
Na akiondoka anarudi saa sita usiku tena lakini anakuwa ni roho nyingine kabisa kwa sura ya mume nikigoma kumfungulia anafungua mlango kwa njia zisizoonekana nikimuuliza amepita wapi eti nilikuwa na funguo