NINAHITAJI MSAADA WENU WAPENDWA

NINAHITAJI MSAADA WENU WAPENDWA

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,901
Reaction score
7,005
Ninayopitia mungu ndie anajua
Mniombeee
Nimazito mnoo
Unseen forces
Drained ernegy
Naishiwa nguvu
Nikionacho sicho
Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio
Yote nimeamua kumuachia mungu afanye yake
 
Ninayopitia mungu ndie anajua
Mniombeee
Nimazito mnoo
Unseen forces
Drained ernegy
Naishiwa nguvu
Nikionacho sicho
Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio
Yote nimeamua kumuachia mungu afanye yake
Hebu fanya editing utueleze vizuri. Mi binafsi sijaelewa tatizo lako ni nini.
 
Nini tabu!? mumeo yuko hai?! elezea kwa utulivu tujue namna ya kushauri na kukusaidia, pole kwa yote unayopitia jua tu hauko peke yako mkuu. Marcy
 
Umepita kwa kasi sana,,, unaishiwa nguvu , sura ya mmeo watu tofauti,,, hebu shusha pumzi kisha eleza kwa kituo!!!
Ulishawahi kwenda kwa buldoza?!!
 
Ninayopitia mungu ndie anajua
Mniombeee
Nimazito mnoo
Unseen forces
Drained ernegy
Naishiwa nguvu
Nikionacho sicho
Yaan wanakuja watu kwa sura ya mume wangu lakini sio
Yote nimeamua kumuachia mungu afanye yake
Pigana kwa maombi makali ya vita usikubali hiyo hali.
 
Unaandika vitu nusu nusu sisi tutaelewa nn, au na maombi pia yaje nusu nusu?
 
Back
Top Bottom