Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,155
- 31,068
Unajua mtu unapoomba ushauri mara nyingi unakuwa ushafanya maamuzi, msemo wa serikali yako kichwa chako ndipo unaapply. Fanya kile unachohisi ni sahihi maana mahusiano hayana formula hata mimi ya kwangu yalinishinda usione niko hapa nakushauri wewe wakati mimi mwenyewe nina mtoto wa miaka mitano nalea mwenyeweHio hela nilikua nimeitenga kwa procedure za kumrasimisha yeye tu. Na analifahamu hilo manake ndio bajeti yetu, sasa linapokuja suala la kuuguliwa na mtu haoneshi kujali hapo ndipo unapopata akili kua huyu target yake sio shida na raha, Niko kwenye shida yangu hataki kushea nami bado anazidi ipigania furaha yake tu. Sijala limbwata sheikhe nina akili timamu nachoomba hapa nikumuacha katika namna ambayo yeye mwenyewe, atajua cha kufanya nini nn mbeleni pasipo kunisumbua. Usingle maza wakati mwingine sio kosa hujui huko nyuma ilikuaje, Na kwa akili ya kawaida mtu uwe single maza tena msomi na akili timamu unapokuja kusimamia pengine kile anachokiita kua ni taratibu za kabila lao inakua ni sawa na kukomoana, Natak kuchukua pesa yote ya mahali plus nauli sijui mavazi sijui , yote niwakabidhi nifanyeyangu.