Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Hapo uliposema hauna mpango wa kuwalipa kwa sasa na vilevile hadi utakapo pata pesa nzuri, hauwezi kumlipa mdeni wako kwa pesa ya ziada, kwanza haipo, ni sawa na mtu anapojibana kukukopesha pesa wakati ana mambo yake ila ameamua tu akusaidie kisha unaanza kutaka upate pesa ambayo inabaki baada ya mambo yako ndio umlipe, haiendi hivyo MKUU.

Ushauri wangu, jitahidi walipe kidogo kidogo katika hali ngumu hiyo hiyo unayopitia. Siku ingine utakosa mtu wa kukusaidia.
Lakini sikulaumu sana, kulipa madeni ni kipaji.
Umemaliza vizuri mkuu madeni kulipa ni kazi ngumu mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo sare sare hawa jamaa kilichosababisha nisiwalipe kuna siku nilituma hela kimakosa na nikapiga simu muda huo huo ili waizuie, sasa badala ya kupokea simu wao wakaniwekea muziki huku wananichombeza ati niendelee kumsubiria cc. Asee ni story ndefu nasikia ati deni langu wamemkabidhi broker afatilie teh teh
M-Pawa nao wamekomaa kweli kweli... kila siku wanatuma sms!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo sare sare hawa jamaa kilichosababisha nisiwalipe kuna siku nilituma hela kimakosa na nikapiga simu muda huo huo ili waizuie, sasa badala ya kupokea simu wao wakaniwekea muziki huku wananichombeza ati niendelee kumsubiria cc. Asee ni story ndefu nasikia ati deni langu wamemkabidhi broker afatilie teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan uyo broker anakujua?

Asikutishe mkuu kaza moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom