Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Wewe upo timamu kweli??? Unataka kuwalipa tala??? Hiiiiiiii yaani mkopo ambao nalipa ni wa bank tu ....labda na mtu binafsi nikimkopa nitamlipa ila sio tala ...branch ...airtel timiza Mara tigo nivushe hiii siwalipi ng'o hawa viumbe .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha embu kaa kimya uone watakufanya nini, yani unashauriwa kuwasiliana nao facebook na wewe unajivuta?ama kweli
 
Kausha tu, wakipiga simu usipokee, wakituma ujumbe soma na utulie zako. Baada ya kuongeza riba kwa Mara ya kwanza, tulia endelea kuishi eiba haitaongezeka ila mikwara haikwepeki.

Barafu la moto
 
Mi wananidai na nina mpango wa kuwalipa ila nimekuwa nimelazwa hospital wiki mbili na wanaendelea kunitisha na hawaelewi ,sijui nife ili wafurahi na tuone watalipwaje! Hata pole hakuna wakati mm ni mteja wao wa muda mrefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hivi Tala wanatoa mikopo kwa vigezo vipi ? Maana kwa hali hii sijui kama watalipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe upo timamu kweli??? Unataka kuwalipa tala??? Hiiiiiiii yaani mkopo ambao nalipa ni wa bank tu ....labda na mtu binafsi nikimkopa nitamlipa ila sio tala ...branch ...airtel timiza Mara tigo nivushe hiii siwalipi ng'o hawa viumbe .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wewe si kuna elfu 70 au 80 ulimkopesha jamaa yako hajakulipa ukasema hutamsamehe mpaka unaingia kaburini ?

Kwanini usilipe wa Tala ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom