Ninachofahamu kuhusu BAKWATA

Ninachofahamu kuhusu BAKWATA

Status
Not open for further replies.
Upuuzi ni hulka muhimu kwakila mwanadamu, lakini upumbavu ni ugonjwa tasa,

EAMWS ilivunjika kutokana na mgogiro wao wa ndank katika ya makao makuu namikoani,

Mgogoro ulitokana na "ufisadi" uliokithiri pale makao makuu ukiongozwa na mwenyekiti wa EAMWS taolifa Shehe Amir,

Mwalimu Nyerere ama serikali yake hawakuhusika kwa lolote juu ya kifo cha EAMWS wala kuundwa kwa BAKWATA,

Serikali ilichofanya nikupokea chombo kipya cha kuwasimamia waislamu tu

Endeleeni kupoteza mda hapa kwaakulialia kila kukicha,

Haya muislmu mwenzenu Mwinyi alifuata baada ya Nyerere, je alishindwa kuirejesha EAMWS?

Muislmu mwingine Jakaya yupo madarakani, je amshindwa nini kutatua kelele zenu?
 
Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
 
Yericko nyerere
 
ndugu wakigombana chukua jembe ukalime ....wakipatana chukua kapu ukavune!!
 
Tatizo ni pale unaposoma histohisia ya Mohamed Said (kama rejea kuu) halafu unajiridhisha kuwa umesoma rejea mbambali.

Soma na references zingine.
BAKWATA ni ya waislam period.
Hatuwezi kuwazuia watu wanaojipa mamlaka ya kuamua eti Abdallah na Hamis sio waislam kwa vile tu wapo BAKWATA. Baraza kuu la waislam Tanzania, ni Chombo cha waislam. Hutaki unaacha!
Mi naona topic hii very simple kujibiwa,Swali la msingi nani aliwachagua Bakwata? Kwa kawaida viongozi kuwepo sehem huwapo na chaguzi either jopo la wawakilishi wa kila taasisi au wananchi kwa mmoja mmoja. Hili la Bakwata waislam wanalipigia kelele sana sababu hawajui kiongozi wao wa msikiti na kadhalika kuwakilishwa kny teuzi. Ni kundi la watu flan wanaamua kukaa na kupanga basi.kama ingefanyika chaguzi kama taasis zingine za dini msingesikia hizi habar za Bakwata kuchukiwa na waislam walio wengi. Ikiwa Imamu wa msikiti anafanyiwa uchaguzi vipi kuhusu kiongozi wa maimamu/Mufti? Only in Bongo.
 
Upuuzi ni hulka muhimu kwakila mwanadamu, lakini upumbavu ni ugonjwa tasa,

EAMWS ilivunjika kutokana na mgogiro wao wa ndank katika ya makao makuu namikoani,

Mgogoro ulitokana na "ufisadi" uliokithiri pale makao makuu ukiongozwa na mwenyekiti wa EAMWS taolifa Shehe Amir,

Mwalimu Nyerere ama serikali yake hawakuhusika kwa lolote juu ya kifo cha EAMWS wala kuundwa kwa BAKWATA,

Serikali ilichofanya nikupokea chombo kipya cha kuwasimamia waislamu tu

Endeleeni kupoteza mda hapa kwaakulialia kila kukicha,

Haya muislmu mwenzenu Mwinyi alifuata baada ya Nyerere, je alishindwa kuirejesha EAMWS?

Muislmu mwingine Jakaya yupo madarakani, je amshindwa nini kutatua kelele zenu?
Naona pumba zingine leo umeamka nazo. Siamini kama mpaka sasa unaamini Rais anafanya lolote bila kufata kanuni za katiba au akideviate sna Ilani ya chama chake. Juzi uliongea madudu leo unarudia the same. JK wala Mwinyi hawawezi kuamua kuingilia suala ambalo linapingana na chama chao/katiba. Aliyeanzisha huu ukandamizaji ndo anabeba lawama na mpaka leo unaona Nyerere yuko mentioned sana.Na pia JK na Mwinyi hawakua madictator km Nyerere kwahiyo hawajiamulii wakiamka tu usingizin. Kajipange!
 
Kwauwelewa wangu, Bakwata nichombo kilochoundwa na Mkatoriki (Nyerere). kwakazi ya kuwasulubu Muslim of Tanzânia. Bakwata vilevile nitawi la CCM kwaupande wa kisiasa. Bakwata haiwezi kumkomboa Muislam wa TZ, kwakua viongozi waliopale ni mapandikizi ya Serkali ya CCM, niwatu wasie na Elimu ya sekula wenyewe wanajua kutiaudhu na kuswali tu, zaidi ya hapo ni maudi basi.

...BAKWATA ni ya nani?
!ngoja hili swali nikawaulize wajumbe wa NEC,

NEC (sektarieti) ya CCM:
1. Kikwete - naomba majibu...!
2. Dr Shein - naomba jibu...!
3. Mangula - ww baki kimya.
4. Kinana - naomba majibu...!
5. Mwigulu Nchemba - jibu tafadhari...!
6. Seif Khatibu - leta jibu, BAKWATA niya nani?...
7. Nape - jibu... Niya nani?
8. Asha M - jibu tafadhari...
9. Z. Meghji - tunaomba majibu ya swali lililoulizwa kuwa BAKWATA niya nani?
10...
 
Kwauwelewa wangu, Bakwata nichombo kilochoundwa na Mkatoriki (Nyerere). kwakazi ya kuwasulubu Muslim of Tanzânia. Bakwata vilevile nitawi la CCM kwaupande wa kisiasa. Bakwata haiwezi kumkomboa Muislam wa TZ, kwakua viongozi waliopale ni mapandikizi ya Serkali ya CCM, niwatu wasie na Elimu ya sekula wenyewe wanajua kutiaudhu na kuswali tu, zaidi ya hapo ni maudi basi.

kwahio Ponda mnaemkubali ndio anaelimu ya kisekula; mufti simba hahaaaaaaa
 
Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,

Mbona tushajadili sana pale kwa mtoro kwenye mihadhara ya chochezi ponda
 
Hana busara yoyote ila kwakua ni mtu wenu najua mtamtetea sana

there is no reason we should discus BIN LADEN+ SWEET POISON's opinions. period. id zao ndiyo matendo yao.
 
Tatizo ni pale unaposoma histohisia ya Mohamed Said (kama rejea kuu) halafu unajiridhisha kuwa umesoma rejea mbambali.

Soma na references zingine.
BAKWATA ni ya waislam period.
Hatuwezi kuwazuia watu wanaojipa mamlaka ya kuamua eti Abdallah na Hamis sio waislam kwa vile tu wapo BAKWATA. Baraza kuu la waislam Tanzania, ni Chombo cha waislam. Hutaki unaacha!
Kafiri anawezaje kuunda chombo chenye maslah kwa Waislam?
 
Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
Nashukuru umeling'amua hilo. Hakika Makafiri wana chuki dhidi ya Uislam na waumini wake. baada ya lisaa limoja tayari Uzi utakua umeshaondolewa.
 
mada kama hizi wengine uwa ni wasomaji tu wa comment za wengine.
sababu kubwa ni kwamba hatuna cha kuchangia
 
kwahio Ponda mnaemkubali ndio anaelimu ya kisekula; mufti simba hahaaaaaaa
Kwani kwaulewa wako Mwenye Elimu mpaka atembee na vyeti mkononi? me nadhani mwenye Elimu niyule mwenyewe uwelewa wa jambo flani analo shughulika nalo kwa wakati huo. Ponda anaulewa wa mambo yote mawili (Sekula na dini) Kwahiyo huwezi kumbuluza ktk mambo hayo yote, tofauti na Simba, yeye anachujua qala rasulu llah, basi ukimpeleka upande wapili wa shiringi ume muacha hana anacho jua. Ndio sampuli ya viongozi wote wa Bakwata ambao Serkali ina wahitaji, mtu anashindwa kuhoji, kwanini wakristo wanapendelewa kwenye ibada tofauti na Waislam? (juma pili mapumziko, Ijumaa kazi)
 
Naona pumba zingine leo umeamka nazo. Siamini kama mpaka sasa unaamini Rais anafanya lolote bila kufata kanuni za katiba au akideviate sna Ilani ya chama chake. Juzi uliongea madudu leo unarudia the same. JK wala Mwinyi hawawezi kuamua kuingilia suala ambalo linapingana na chama chao/katiba. Aliyeanzisha huu ukandamizaji ndo anabeba lawama na mpaka leo unaona Nyerere yuko mentioned sana.Na pia JK na Mwinyi hawakua madictator km Nyerere kwahiyo hawajiamulii wakiamka tu usingizin. Kajipange!
Kama Nyerere aliweza kuwaundia Waislamu wa Tanzania BAKWATA ambayo mamilioni ya waislamu wameshindwa kuifuta pamoja na kupata Marais Wawili waislamu baada yake,Sasa naamini Nyerere alikuwa Jembe na Wakatoliki wana Kila sababu ya kutaka kumtangaza saint(Mtakatifu).
 
Nashukuru
umeling'amua hilo. Hakika Makafiri wana chuki dhidi ya Uislam na
waumini wake. baada ya lisaa limoja tayari Uzi utakua
umeshaondolewa.

Hujambo Kitoabu?Off
topic:Umeishahama kule ukweni kwako unakonyanyaswa?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom