Upuuzi ni hulka muhimu kwakila mwanadamu, lakini upumbavu ni ugonjwa tasa, EAMWS ilivunjika kutokana na mgogiro wao wa ndank katika ya makao makuu namikoani, Mgogoro ulitokana na "ufisadi" uliokithiri pale makao makuu ukiongozwa na mwenyekiti wa EAMWS taolifa Shehe Amir, Mwalimu Nyerere ama serikali yake hawakuhusika kwa lolote juu ya kifo cha EAMWS wala kuundwa kwa BAKWATA, Serikali ilichofanya nikupokea chombo kipya cha kuwasimamia waislamu tu Endeleeni kupoteza mda hapa kwaakulialia kila kukicha, Haya muislmu mwenzenu Mwinyi alifuata baada ya Nyerere, je alishindwa kuirejesha EAMWS? Muislmu mwingine Jakaya yupo madarakani, je amshindwa nini kutatua kelele zenu?