Ninachofahamu kuhusu BAKWATA

Ninachofahamu kuhusu BAKWATA

Status
Not open for further replies.
Well, Nyerere alianzisha BAKWATA ambayo baadhi yenu hamridhiki nayo. Mwl.Nyerere ameshafariki kwa nini msianzishe hicho mnachokitaka badala ya kulalamika?! Mbona rahisi sana kuanzisha hizi jumuiya kama ile ya shekhe Ponda.

usifikiri kuanzisha taasisi ni kazi rahisi hivyo! kinachokuja ni pale "mfumo" unapoendelea kuikumbatia BAKWATA ambayo mantiki yake me na ww tunataka kuijua kutoka kwa wadau wanaojua.
 
Nasikia na watemi kama kina Ntemi Chenge nao wanasema kuwa huyu mzee aliwafutilia mbali ili kulinda "mfumo kristu" afu eti Waitaliano wa hapa Tanganyika nao wanalia kuwa aliwanyang'anya shule zao ili wapagani na wale wa dini ya
"MNYAZIMUNGU" wapate nafasi ya kufuta maujinga yao! Leo kila mtu anamlaani huyu mzee lakini ndo yeye kawasaidia wengi mkajua hata kutumia kompyuta mpakato! Nyambaf kabisaaaa./

hoja ya mtoto wa chekechea kabisa! umesahau Nyerere aliwafukuza wazungu waliomfundisha kuvaa suruali! hali walimkuta anavaa kaptula ajabu kabisa! walifanya mangapi wazungu? tafadhali rudi kwenye mada.
 
Ngongo nadhani hujafuatilia maelezo yangu kwenye topic na hata wadau wamechangia.rudi kwenye mada uelewe kabla hujachangia.
 
mkuu elewa mada,Labda nirudie mada,"BAKWATA NI YA NANI?,YA WAISLAM,SERIKALI AU???????.Toa hoja juu ya mada hii,ya kadhi tutaiwasilisha cku nyingine.
Serikali haijawahi kuwa na chombo cha kidini wala haitakuwa na chombo chochote chenye mlengo wa kidini,

Serikali haina dini na haita abudu popote pale zaidi ya bungeni tu
 
bakwata na ccm,havina utofauti.ukimwona kijana anaipenda bakwata lazima ukampime akili zake.hivyo hivyo ukimwona kijana anaipenda ccm lazima atakuwa mwehu.bakwata nijanga kwa waislam.na ccm nijanga kwa watanzania wote.wanayowakuta viongozi wa upinza kupewa kesi zisizo na kichwa wala miguu.ndicho anacho fanyiwa shekhe ponda.ccm&bakwata laana ziwe juu yao.
 
Kwauwelewa wangu, Bakwata nichombo kilochoundwa na Mkatoriki (Nyerere). kwakazi ya kuwasulubu Muslim of Tanzânia. Bakwata vilevile nitawi la CCM kwaupande wa kisiasa. Bakwata haiwezi kumkomboa Muislam wa TZ, kwakua viongozi waliopale ni mapandikizi ya Serkali ya CCM, niwatu wasie na Elimu ya sekula wenyewe wanajua kutiaudhu na kuswali tu, zaidi ya hapo ni maudi basi.

hao waislamu wanasulubiwa vipi na Nyerere ambaye mpaka leo yupo kabulini? wenzenu wanachangishana pesa kujenga mashule na zahanati,,nyie mliitana uwanja wa taifa kuchangishana pesa kwa ajili ya redio imani ili kuipa nguvu itukane vizuri wasio wenzenu..bado hamuoni akili zenu zilivo fupi!!
 
Ushahidi upo eamws haikufa bali nyerere aliifuta akaanzisha bakwata na hoja yake ilikuwa finyu tu eti eamws inaongozwa na waarabu ndio akaanzisha bakwata inayoongozwa na mswahili

kwaio nyinyi mlitaka muongozwe na mwarabu?? ndio maana ata izi fujo zinazoendelea zinaongozwa na wenye asili ya kiarabu,,wanataka kutuletea machafuko kama syria na misri..
 
Serikali haijawahi kuwa na chombo cha kidini wala haitakuwa na chombo chochote chenye mlengo wa kidini,

Serikali haina dini na haita abudu popote pale zaidi ya bungeni tu

Serikal haina dini sawa.je lile gari analotembelea SIMBA,imekuwaje serikali imnunulie wakati wao hawana dini?huoni kunamaslahi kati ya serikali na bakwata?
 
Haya maswali mnaonaje mkaenda kumuuliza Msilamu Rais Kikwete? Yeye ndio kiongozi wa ngazi ya juu kabisa ktk taifa hili. Sielewi kwanini hoja hii iulizwe JF badala ya kupelekwa sehemu husika (Magogoni) ambayo hoja hii mwanana itapatiwa majibu mujarabu.
 
Hana busara yoyote ila kwakua ni mtu wenu najua mtamtetea sana

mwenye busara ni sheikh kundecha aliyekodi ma-fusso mpaka mtwara Ndanda sec kuwachochea wanafunzi wa kiislamu wasifanye mtihani wa taifa,,matokeo yake wamezuiwa kufanya mtihani wameambiwa warudie kuwalipia hela ya kurudia mtihani haonekani kakimbia watoto wanaangaika mitahani sasa...tutamwona tena kwenye maandamano ya kulaani matokeo yao mabaya,,utawasikia "Ndalichako lazima ang'oke atukubalii aya manyanyaso"
 
Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,

nyie huwa mnajadili au mnalalamika?
 
Mara nyingi watanzania hususani waislam tumekuwa ktk mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya waislam,serikali au???????.nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa ktk mikutano yake nanukuu"Bakwata ni tawi la Kanisa,"baada ya kusoma rejea mbalimbali kufahamu historia ya Bakwata nikagundua kuwa mwaka 1968 ndio ulikuwa mwanzo wa Bakwata.Bakwata iliundwa na mwalimu Nyerere baada ya kuivunja EAMWS ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni taasisi iliyokuwa imepiga hatua kubwa ktk uchumi,siasa na elimu Afr.mashariki.kwanini Nyerere aliivunja EAMWS?ni swali tuulizane mm na ww,alikuwa kama nani ktk taasisi za dini? nalo tuulizane.kiufupi Bakwata imekuwa ikipingana sana na waislamu waliowengi hapa nchini ktk mambo mengi yahusuyo dini kibaya zaidi inapingana hata na taasisi zingine za kiislam.nawaulizeni wadau BAKWATA NI ya nani?

maswali mengine ni ya ki..puu...zi.. hujui maana ya bakwata!?
 
Yule mwenye kashfa ya ushoga? hana cha uislam chochote zaidi ya maslah yake tu.

ona sasa unavyomtusi kiongozi wako wa kidini wa mkoa,,kwaio mwenye maslahi na waislamu ni Ponda anaepora matofali? ebu tueleze yale matofali na cement alivopora Ponda viko wapi? kama sio kaenda kujengea banda lake la kujiifadhi..
 
mwenye busara ni sheikh kundecha aliyekodi ma-fusso mpaka mtwara Ndanda sec kuwachochea wanafunzi wa kiislamu wasifanye mtihani wa taifa,,matokeo yake wamezuiwa kufanya mtihani wameambiwa warudie kuwalipia hela ya kurudia mtihani haonekani kakimbia watoto wanaangaika mitahani sasa...tutamwona tena kwenye maandamano ya kulaani matokeo yao mabaya,,utawasikia "Ndalichako lazima ang'oke atukubalii aya manyanyaso"

alafu kundecha mjanja sana.
yeye kila siku kumsakizia ponda. Yeye anakula bata na wakeze mwenzake ananyea debe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom