Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

eeh!mzee kumbe ukiamua huwa unnaandika maposti marefu hivi?:D:D

Nikiamuaga nashuka mistari uspimie kabisa tena kama hii imenikasirisha kabisa mambo ya wivu siyazimikii hata kidogo tena kama umezidi ndo kabisaaaaa
 
yaaaaah!THAT'S MY PAL

kuna jamaa aliimba
''WIVU SINAAAAA ILA ROHO INAUMAA MAAAMAAA...!''
 
Nikiamuaga nashuka mistari uspimie kabisa tena kama hii imenikasirisha kabisa mambo ya wivu siyazimikii hata kidogo tena kama umezidi ndo kabisaaaaa

Hivyoe? Haya bana! Noted!
 
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift zilipendwa wake na alikuwa amekaa kwenye siti ya mbele ya abiria, niliumia kupitiliza nikaacha kuitumia ile siti, kuanzia siku ile nikawa nakaa siti ya nyuma kama balozi! Baada ya muda akabadili gari -thanx God sasa nakalia siti yangu!

Nyumba anayoishi nimebadili karibu kila kitu kwani nahisi vina uhusiano na mpenzi wake aliyepita na vinaweza kumkumbusha waliyokuwa wakifanya - siwezi kuvumilia, nimembadili hata yeye - mavazi, perfume, sehemu za kutembelea nk nk yote hii ni kuhakikisha mimi ndio natawala mawazo yake na si vinginevyo, lengo ni kwamba kila kitu kinachomzunguka kiwe kinamkumbusha mimi! Akisafiri tunakesha kwa PC na simu... kuhakikisha yupo peke yake nitamtaka afanye mambo kadhaa ili nijiridhishe siibiwi... msg zikiingia kwenye simu yake mapigo ya moyo yanabadilika...huwa najitahidi kujizuia kusoma msg hizo lakini asiponiambia nani ametuma na kuniruhusu kusoma naweza kukosa usingizi siku kadhaa!

Jamani nisaidieni, ni mimi tu au na wengine wako hivi? Nina wasiwasi atachoka, kuna wakati naona namnyima uhuru, najaribu kujizuia lakini nashindwa, nifanyeje?

Annina

utakufa mapema mno mno ....mweh wivu gani huu? hebu jiepushe na ma pressure na kisukari bwana.
 
Binamu mzima lakini? it seems xmas break wifi alikupeleka tanga maana naona unazijua taarabu kweli siku hizi.:D

hehehe mzima binamu...ila ndo ivo tena apo sichomoki, ukishikwa shikamana!:D ila sina wivu ki ivyo kama huyu Annina:confused:
 
Annina utakufa siku si zako ukiendekeza wivu kiasi hicho. Kumchunga binadamu si rahisi kabisa. Akitaka kufanya madudu yake atayafanya tu hata kama utajitahidi kumbadili kwa kiasi gani. Kama humuamini kutokana na matendo yake ni bora kuingia mitini mapema kabisa.

Na hiyo ya kumpa lift zilipendwa wake ni NO NO NO, nashangaa uliruhusu kitu kama hicho. Zilipendwa zinabaki zilipendwa mambo ya kupeana lift hayaruhusiwi kabisa au wanaweza kabisa kukumbushia enzi zao.

mnazidi kum confuse huyu dada...tatizo ni nini kumpa zilipendwa wake lifti? mbona watu mpo sensitive kihivyo.
 
nimependa sana camel na hoja zake za mitalimbo! hahahah lazima ujivunie makamuzi halali.

ukiendelea hivi, nitakutafutia nafasi nzuri kwenye assessment yangu ijayo, probably utakuwa group moja na x-pin. tehetehe
 
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift zilipendwa wake na alikuwa amekaa kwenye siti ya mbele ya abiria, niliumia kupitiliza nikaacha kuitumia ile siti, kuanzia siku ile nikawa nakaa siti ya nyuma kama balozi! Baada ya muda akabadili gari -thanx God sasa nakalia siti yangu!

Nyumba anayoishi nimebadili karibu kila kitu kwani nahisi vina uhusiano na mpenzi wake aliyepita na vinaweza kumkumbusha waliyokuwa wakifanya - siwezi kuvumilia, nimembadili hata yeye - mavazi, perfume, sehemu za kutembelea nk nk yote hii ni kuhakikisha mimi ndio natawala mawazo yake na si vinginevyo, lengo ni kwamba kila kitu kinachomzunguka kiwe kinamkumbusha mimi! Akisafiri tunakesha kwa PC na simu... kuhakikisha yupo peke yake nitamtaka afanye mambo kadhaa ili nijiridhishe siibiwi... msg zikiingia kwenye simu yake mapigo ya moyo yanabadilika...huwa najitahidi kujizuia kusoma msg hizo lakini asiponiambia nani ametuma na kuniruhusu kusoma naweza kukosa usingizi siku kadhaa!

Jamani nisaidieni, ni mimi tu au na wengine wako hivi? Nina wasiwasi atachoka, kuna wakati naona namnyima uhuru, najaribu kujizuia lakini nashindwa, nifanyeje?

Annina

hiyo imenifanya nikugongee the most important button hapa!!! hahaaaaa we kiboko!!!
 
Haya 2010 hiii. wacha nikae vizuri..... huu wivu umezidi kupita kiasi, atakuchoka huyo mume!!!!!! jitulize kama ni wako ni wako hata umfunge kamba mguuni akitaka kukutenda bado atafanya....
 
shishi kila siku unamuulizia x-pin haya yupo hapa leo hebu m-piemu muongee,umpe pole ya msiba n.k
 
Back
Top Bottom