hellefay
Senior Member
- May 16, 2018
- 113
- 192
Yan umedumu na mtoto wa watu kwa miaka mitano mkasomana tabia na ukamuona anakufaa,leo hii unaona bora huyo mwanachuo ambae hata nyendo zake huzijui?
Na kama tokea awali ulikua na malengo ya kuoa mtu wa kabila lako hukujua A sio kabila lako?
Kuhusu changamoto ya maumbile ya miguu nadhani uliijua mwanzon kabisa wa mahusiano yenu,sijui ulikua wapi kukosoa Leo hii umepata mwanachuo ndo unaanza kuyaona hayo.
Pia suala la umri wako na A haukuujua mapema?Kua makini unaeza jikuta unawapoteza wote.Hadi sasa A akipata mwingne anaeeleweka na mwenye mtizamo chanya atamkubalia mana ameshakata tamaa na wewe kwa vitendo vyako.
Then umekiri A alikuvumilia tokea enzi huna kazi ad leo.Huoni huyo ni mwanamke mvumilivu?Pia hakutegemei ni mpaka wewe uamue kumpa mwenyewe.Napo mkipata tegemezi mnanungunika.sasa uko upande gan yan hueleweki