Nina wakati mgumu, ushauri wako unahitajika

Nina wakati mgumu, ushauri wako unahitajika

wadada wa kileo wapo desperate mpaka wanatia kichefuchefu sasa,kwanza unaanzaje kumuuliza mwanaume unanioa ilni? wangejua hilo swali ni la ovyo wasingekaa waulize, wewe kama mdada unaona hapa hakuna muelekeo sio mpaka uulize, changanya tu akili zako chappppp

my dear Nyamayao inaonekana uwezzo wa kuchanganya akili chaaaap ni mdogo kwa wengi...wamekremu.....yaani wanatia aibu haswa
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa...... Shemeji mpenzi mbona hiyo aihuuu kabisaa,,, huyo anataka amuharibie maisha mtoto wa watu tu.... Si unajua sikuhizi hata wanaume wanaharibiwa maisha????

haa wacha kabisa Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
Mwambie bado hujawa tayari, ukiwa tayari utamwambia, hataki mwache aende zake asije kukuletea matatizo baadaye

Hawa ndo wanaolazimishaga kuolewa, akiingia ndani ya ndoa inamshinda miezi sita tu ndoa inavunjika


Asante kwa ushauri mwalimu! Tatizo anataka niseme lini ntakuwa tayari.
 
Mwambie bado hujawa tayari, ukiwa tayari utamwambia, hataki mwache aende zake asije kukuletea matatizo baadaye

Hawa ndo wanaolazimishaga kuolewa, akiingia ndani ya ndoa inamshinda miezi sita tu ndoa inavunjika

Kimeo hicho ila kabla hujammwaga mtafune kwanza!
 
huyo yupo desparate na ndoa, pia hayupo secured sababu ya mchumba wako wa kwanza. inawezekana anahisi yule aliyevunja uchumba atarudi kuomba msamaha halafu we utabadili mawazo. kina dada walio desparate huwa wana-take advantage ya kuvunjika kwa uchumba kwa wao kuingia kwa gia kubwa na kuonyesha wapo tayari kwa ndoa. Be careful, siku si nying utasikia kanasa ujauzito wako then itabidi umuoe kwa sababu ya mimba. huyo dada atakupeleksha kila cku, mi nimeona kwa bro wangu. mwambie ukweli kwamba huna haraka ya kuoa kwa sasa, na haraka zake yeye zinakutisha
 
Sio mbaya nikiwa tofaut na wengne,una doubt anaweza kuwa na mtoto umefahamiana wap,mnaonana wap? alaf kwa miez m3 eti bado m2 mnafahamiana kwa juu juu nikutokuwa serious may be kama umedanganya hapa mkuu,nadhan weng walo toa ushaur wamesahau mda mlo famiana kama ni miez3,na nadhan kwa mda huo ana kila sababu ya kujua mpango na muelekeo wa mahusiano meng usje ukaishia kumvua pichu tu alaf ukaingia mtn maana nyoyo zlzoumia znatafuta kulpza vsasi tu kwa wa2 wasio na hatia.

Ndugu yangu kuishi na mtu mwenye meno 32 sio sawa na kufuga nguruwe. Miezi 3 huwezi kumfahamu mtu mwenye malengo maalumu. Niko eneo ambalo ndugu hawapo karibu na wake hawapo, sasa tutawajuaje? Yaani serious miezi 3 unaniambia niahidi kumuoa mtu! Duh! Kwani kuna haraka kiasi gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom