Nina wakati mgumu, ushauri wako unahitajika

Nina wakati mgumu, ushauri wako unahitajika

Ni haki yake kukueleza fikra zake. Na si kila wakati kuwa negative kwenye mawazo ina wezekana kafika alichokuwa anataka kapata kwa hiyo hataki kupoteza muda wazandiki wasije kuingilia raha zake.
 
Nimemwambia kwamba tunahitaji kufahamiana lakini anataka time limit. Yaani maswali ya mpaka lini huwa nakereka nayo kwa kweli.! Yaani hapa nilipo sijamwambia hata structure ya familia yangu, sasa tuanze kuzumzia kuoana si akiona familia iko tofauti na vile alivotegemea atakuwa disapointed?

Just tell her "mwanaume hapangiwi kuoa,, muda ukifika atajulishwa" kumbuka hayo ni maisha yako Mangi
 
eti shemeji mpenzi Lady doctor inahuu kwa mwanamke kuulizia ndoa kiiovo? Si unajua wale jamaa wa saccos..usithubutu kukutwa

hahahaaa...... Shemeji mpenzi mbona hiyo aihuuu kabisaa,,, huyo anataka amuharibie maisha mtoto wa watu tu.... Si unajua sikuhizi hata wanaume wanaharibiwa maisha????
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakubwa!! Wakubwa zangu heshima yenu nawapatia. Nimeanza uhusiano na dada mmoja kama miezi mitatu imepita sasa. Nampenda na yeye anasema ananipenda. Nimeanza naye uhusiano baada ya miezi kadhaa tangu mtu niliyemtambulisha nyumbani kwamba ndiye mke mtarajiwa kuvunja uhusiano bila sababu iliyo wazi. Kinachonisumbua sasa hivi huyu dada kila tunapokutana anaulizia sana mambo ya kuoana kiasi ambacho inanitia wasi wasi. Hatujafahamia vizuri, inakuwaje tuanze kuzungumzia kuona mapema namna hiyo? Yaani hajui hata vile vya juu juu kuhusu mimi na nnajua vichache kuhusu yeye. Napatwa na wakati mgumu kumjibu maswali yanayohusu jambo hilo, naogopa kuahidiana na mtu aafu mkijuana vizuri mkajikuta hamuendani. Nifanyeje ndugu zangu? Sikwepi majukumu ila naogopa kwa nini haraka namna hiyo?
cha muhimu ni kuepuka kujifanya mtu mwingine ambaye si wewe...show ur true colours ili ajue anaingia kewnye ndoa na mtu wa aina gani!
hawezi kukujua kama hata kitu kidogo kama hicho unashindwa kumuambia kutokana na hisia zako..
hata hivyo swala la kuoa si wewe ndie ulimwambia... kwani ni yeye???? akuachie wewe ndo mkuu bana blalifuuuuuu!!!!!
 
Safi.sasa kuwa na msimamo kwamba muoaji ni wewe na sio yeye kama alivoshauri gfsonwin

Halafu sio vema mwanamke kuulizia ndoa kama anakumbushia madeni ya saccos

ndio mana mine nilitulia mpaka uliporidhika kuniweka ndani.

mzima swtlo wangu??
 
Safi.sasa kuwa na msimamo kwamba muoaji ni wewe na sio yeye kama alivoshauri gfsonwin

Halafu sio vema mwanamke kuulizia ndoa kama anakumbushia madeni ya saccos

wadada wa kileo wapo desperate mpaka wanatia kichefuchefu sasa,kwanza unaanzaje kumuuliza mwanaume unanioa ilni? wangejua hilo swali ni la ovyo wasingekaa waulize, wewe kama mdada unaona hapa hakuna muelekeo sio mpaka uulize, changanya tu akili zako chappppp
 
Habari zenu wakubwa!! Wakubwa zangu heshima yenu nawapatia. Nimeanza uhusiano na dada mmoja kama miezi mitatu imepita sasa. Nampenda na yeye anasema ananipenda. Nimeanza naye uhusiano baada ya miezi kadhaa tangu mtu niliyemtambulisha nyumbani kwamba ndiye mke mtarajiwa kuvunja uhusiano bila sababu iliyo wazi. Kinachonisumbua sasa hivi huyu dada kila tunapokutana anaulizia sana mambo ya kuoana kiasi ambacho inanitia wasi wasi. Hatujafahamia vizuri, inakuwaje tuanze kuzungumzia kuona mapema namna hiyo? Yaani hajui hata vile vya juu juu kuhusu mimi na nnajua vichache kuhusu yeye. Napatwa na wakati mgumu kumjibu maswali yanayohusu jambo hilo, naogopa kuahidiana na mtu aafu mkijuana vizuri mkajikuta hamuendani. Nifanyeje ndugu zangu? Sikwepi majukumu ila naogopa kwa nini haraka namna hiyo?

Mwambie ukweli unachowaza kichwani. Unajua watu wengi mmekuwa na mawazo mazuri towards mahusiano yenu lakini yamekuwa vichwani mwenu zaidi, ukienda kwenye utekelezaji hakuna la maana. Kama bado mnasomana, basi iwe ni kusomana tu sio uanze maswala ya kudai K. Kama umeshamdai K, basi naona ana haki ya kuulizia ndoa, ili ajue mapema kama hakuna kinachoelewaka asepe.
 
Wanasema bora ukosee kujenga nyumba sio kuoa we jiridhishe kwanza kama anafaa ndo uingie kwenye ndoa sio kukurupuka utajuta maisha yako yote,
 
Nyalotsi kwanini na wewe umegegeda kabla hujamjua/hamjajuana vizuri????
Kumbe ushatumia vyake banaa..
Sasa kaa naye chini na umwambie kistaarabu mipango yako iko vipi.

Ha,ha,ha. Sasa si kila mmoja alivutiwa na mwenzie tukaamua tupeane? Kugegedana inategemea na mazoea ya kawaida tu.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakubwa!! Wakubwa zangu heshima yenu nawapatia. Nimeanza uhusiano na dada mmoja kama miezi mitatu imepita sasa. Nampenda na yeye anasema ananipenda. Nimeanza naye uhusiano baada ya miezi kadhaa tangu mtu niliyemtambulisha nyumbani kwamba ndiye mke mtarajiwa kuvunja uhusiano bila sababu iliyo wazi. Kinachonisumbua sasa hivi huyu dada kila tunapokutana anaulizia sana mambo ya kuoana kiasi ambacho inanitia wasi wasi. Hatujafahamia vizuri, inakuwaje tuanze kuzungumzia kuona mapema namna hiyo? Yaani hajui hata vile vya juu juu kuhusu mimi na nnajua vichache kuhusu yeye. Napatwa na wakati mgumu kumjibu maswali yanayohusu jambo hilo, naogopa kuahidiana na mtu aafu mkijuana vizuri mkajikuta hamuendani. Nifanyeje ndugu zangu? Sikwepi majukumu ila naogopa kwa nini haraka namna hiyo?

sasa siumchane tuu ukweli wewe sio muoaji, yanini kumpotezea muda huyo dada wawatu maana mimi sioni point yoyote ya kimsingi inayosababisha usimuoe kama uko tayari kuoa! eti hujamjua vizuri mpaka uwajue ndugu zake wooote ndio ukubali kuomuoa? au yeye aujue ukoo wenu mzima ndio ukubali kuoa? yaani sioni sababu yawewe kutokumuoa binti kwavigezo vyakutokumjua vizuri kwani hujui anapokaa? marafiki zake hana? au yeye hajui wewe unapoishi hajui ndugu zako hata mmoja? huko ni kukwepa majukumu baana tusibabaishane
 
Asante kwa ushauri wako mzuri. Nipo kwenye harakati za kuchunguza kuna upungufu gani anataka kuuficha mapema. Maana unaweza kuta anamtoto ila hataki nijue kabla.

Sio mbaya nikiwa tofaut na wengne,una doubt anaweza kuwa na mtoto umefahamiana wap,mnaonana wap? alaf kwa miez m3 eti bado m2 mnafahamiana kwa juu juu nikutokuwa serious may be kama umedanganya hapa mkuu,nadhan weng walo toa ushaur wamesahau mda mlo famiana kama ni miez3,na nadhan kwa mda huo ana kila sababu ya kujua mpango na muelekeo wa mahusiano meng usje ukaishia kumvua pichu tu alaf ukaingia mtn maana nyoyo zlzoumia znatafuta kulpza vsasi tu kwa wa2 wasio na hatia.
 
huyo atakuwa ana udhaifu anataka kuuficha,mwambie asubiri baada ya miaka miwili umsikie atasema nn!
 
Mleta mada nadhani ulitakiwa pia kueleza kama ulishawahi kumwuliza huyo rafiki yako kwa nini anataka kuolewa ndani ya muda mfupi kiasi hicho wakati hamjafahamiana vizuri. Nadhani kama ulifanya hivyo jibu alilokupa ndio linaweza ku jenga msingi wa nini wewe ufanye. Wachangiaji wengi wametoa mapendekezo yao kwa kuegemea maelezo uliyatoa wewe bila kupata maelezo ya upande wa pili. Labda huyo dada anayo sababu ya msingi ya kufanya hivyo kwa nini husimwulize yeye kwanza kwa nini ana taka ndoa chap chap? Alafu baada ya kupata hilo jibu ndio uombe ushauri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom