Nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande

Nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande

Kilo mbili

Member
Joined
Dec 1, 2024
Posts
32
Reaction score
79
Habari wana jamvi

Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara

IMG_20250803_184228.JPG
 
Tambua hata kufundisha pia maarifa yako ni mtaji pia ......lakini chapisho lako ongeza nyama katika hayo maarifa ni thamani gani unaeza ongeza kwa mbia wako au jinsi unavyoweza kuongeza thamani kwenye tasnia Pana ya sabuni
 
Habari wana jamvi

Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara

View attachment 3429913
Mkuu ulipata mdau wa kufanya nae kazi? Kama bado tuwasiliane DM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom