kutengeneza sabuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta product za Kutengeneza sabuni ya unga

    Wakuu habar Naomba kupata mawasiliano ya mtu au biashara inayouza ingredients za detergent powder yaani sabuni ya unga Naomba anitafute 0796210960
  2. itagata

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche

    Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza Sabuni

    Shalom Shalom wanaJF Kulikua na mdau anauza mashine ya kutengeneza sabuni ya miche naomba anicheck pm tujadili
  4. Kilo mbili

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande

    Habari wana jamvi Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza sabuni za miche nyumbani kwa ndimu tu

    Najua nyakati ni ngumu na wengi wetu hatuna kazi za kuajiriwa. Kama utapenda kujifunza ujasiriamali bure basi soma hii Hapa kuna mapishi ya sabuni iliyotengenezwa nyumbani ambayo inaweza kukusaidia kuingiza kipato kizuri SABUNI YA NDIMU YA NYUMBANI VIUNGO : 500 ml ya maji 500 g ya sukari 70 ml...
Back
Top Bottom