Nina uhitaji wa mke wa kuoa

Nina uhitaji wa mke wa kuoa

Ndugu Wana if kama kichwa CA habari kinavyo sema Mimi ni mwanaume miaka 42 mahitaji mke wa kuoa awe mkoa was songwe umri sibagui ukiona unafaa njoo tuyajenge My love kipaumbele tunduma na vwawa
Miaka 42, bado unaogopa kuongea na wanawake mtaani kwako?!

Domo zege!, Mke wa kuoa hapatikani Jamiiforums, Humu wadada Watakulia hata hicho kidogo ulichodunduliza
 
Sawa mwanangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom