Nina truck ya carry aina catic

Nina truck ya carry aina catic

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
Habari wanajamvi,

Mimi nina gari ya kubeba mizigo, naomba misaada yenu nianzie kazi ya kubeba mizigo wapi ambapo biashara inachanganya mapema.
 
Yani Sijakusoma mtu wangu for FREE au for payment
 
Yaani nataka kuifanyia kazi for payment ofcause
 
nimekosa kupata mizigo yakupakia nahitaji sehemu maalum yakupakia mizigo
 
gari aina gani, ina injin yenye ukubwa gani, ina tumia ainagani ya mafuta na ina beba mzigo wa uzito gani?
Bodi yake ikoje na hiyo gari ni mpya au used? Na kama used, imetumika kwa muda gani?
Yote hayo ni muhimu ili upate ushauri mzuri.
 
Thanks so much
lakini nishapaitia kazi
 
Habari wanajamvi,

Mimi nina gari ya kubeba mizigo, naomba misaada yenu nianzie kazi ya kubeba mizigo wapi ambapo biashara inachanganya mapema.
Mkuu hiyo catic Bado unayo tufanye biashara?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom