Nina stress, nataka nianze kunywa pombe

Nina stress, nataka nianze kunywa pombe

Huitaji pombe kuondoa stress, unahitaji faraja kutoka kwa watu wa karibu na wa mbali kama mimi.
Yap hii ni njia nzuri kabisa (suluhisho) . Nimepitia mengi shida na mabaya mengi yalionifanya niwe mlevi kupindukia kwa stress nilizozipata, lakini nilipojaribu kuomba ushauri kwa watu ambao niliona ni marafiki na pia wafanyakazi wenzangu niliishia kusimangwa na kukejeliwa yaan ilikuwa ni watu hao wamefurahi mimi kuwa katika shida/mahangaiko hayo hivyo instead ya kupata faraja niliongezewa matatizo kwa kuchanganyikiwa na kuharibikiwa mambo yangu.

Nilichojifunza ni kuwa wapo watu wengi ambao unacheka nao lakini si marafiki/watu wa karibu ,wengi wao hufurahia taabu zetu tena kibaya ni wale ambao uliwasaidia mambo mengi hapo kabla ila wewe ukipata shida hawana habari na wewe kwa msaada wowote.

Conclusion: kuomba ushauri/faraja ni njia bora ya kuondokana na stress lakini chunguza sana wakuwaeleza shida yako wengine ni fisi walio jivika vazi la kondoo
 
true say mkuu
 
d
mkuu shida zote unazozijua nimezibeba mimi,nikianza kuelezea hapa mtanichoka...
Dada mtwike Yesu fadhaa zako maana yeye hujishughulisha na sisi ukibeba mwenyewe hutoweza yapo mambo magumu sisi kama wanadamu tunayapitia katika maisha maisha lkn tunasahau kuwa tunayemsaidizi wa sisi kumpelekea matatizo yetu mweleze Mungu hakuna jambo asiloliweza kunywa pombe haiwezi kuwa suluhu ya hayo matatizo uliyonayo only God anaweza.Maombi yangu kwa Mungu akupe wepesi kwa hayo unayoyapitia.
 
Amen na asante ndugu
 
hahaha nataka nianze na down town halafu samaki samaki lolz...
Pole sana kwa wakati huu mgumu.

Nakushauri ufanye MEDITATION itakuheal kabisa. Ama sivyo, Muombe sana Muumba wako naye atakujalia kheri katika kipindi hichi. Pole sana.
 
Habari JF,

Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
Kunywa hata Magufuli nn Pombe
[HASHTAG]#PombeSioCha[/HASHTAG]
[HASHTAG]#MaguguMaji[/HASHTAG]
[HASHTAG]#CallMeJ[/HASHTAG]
 
Habari JF,

Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
Leo ni Friday njoo tunywe wote utapata raha ya moyoni maana hata imeandika, "Pombe ni kama uhai ukinywa kwa kiasi, Maisha yafaa nini bila pombe, imeumbwa iwafurahishe watu, kunywa pombe kwa kiasi na wakati wake (Friday) kwa leta shangwe na furaha moyoni" Njoo tufurahi ile tunywe kwa kiasi na mahali pake
 
Binafsi pombe mimi imekuwasaada mkubwa sana kwako haa ninapokabiliwa na stress nikipiga Wondhock zangu 4 napata solutions
 
Habari JF,

Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
Viroba vingekufaa zaidi
 
Back
Top Bottom