Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,819
- 40,602
buitaji pombe kuondoa stress unahitaji mtu kama mimi kukuliwaza.
Katika hali kama hiyo usipendelee sana kusikiliza shauri za marafiki,watakupoteza maana wapo watakaokushauri hivi.Kuna sumu ya panya pia, je....ulijaribu? Hii ni automatic, inaondoa stress haraka sana.
haha kweli rafikiKatika hali kama hiyo usipendelee sana kusikiliza shauri za marafiki,watakupoteza maana wapo watakaokushauri hivi.
nitajitahidi kusali sana....ila dahPole sana best! Yalishanikuta haya, pombe ilinipa faraja kwa muda fulani lakini ilinisababishia tatizo kubwa zaidi. Suluhisho ni kuwa karibu na Mungu wako fanya ibada mara kwa mara utakuwa ok mpaka utashangaa. Hii ndio njia iliyonisaidia kusonga mbele na sasa nina amani tele moyoni.
Ingekuwa ni dawa ya kuondoa ama kupunguza stress.....ingepatikana Hospitali na kwenye "FAMASI"....Habari jf...
Hapa nilipo am so stressed,nimejaribu njia kibao but still....
Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia...
Wale mnaotumia hii kitu inasaidia?? hata kwa muda tu...
I know time heals ila siwezi subiri,i just wanna be fine ndani ya muda mfupi...
Huwa unasali? maombi ni dawa ya stress, sio Pombe.Habari jf...
Hapa nilipo am so stressed,nimejaribu njia kibao but still....
Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia...
Wale mnaotumia hii kitu inasaidia?? hata kwa muda tu...
I know time heals ila siwezi subiri,i just wanna be fine ndani ya muda mfupi...
Good Dick Heals...Habari jf...
Hapa nilipo am so stressed,nimejaribu njia kibao but still....
Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia...
Wale mnaotumia hii kitu inasaidia?? hata kwa muda tu...
I know time heals ila siwezi subiri,i just wanna be fine ndani ya muda mfupi...
Trust me utakuwa ok, usisali kwa mazoea tumia muda mwingi kumtafakari Mungu na baraka zake kwako. Mwombe Mungu akuondolee hiyo hali na ikiwezekana washirikishe watumishi wa Mungu wakushauri na kukuombea.nitajitahidi kusali sana....ila dah
Moja kati ya tiba ni kuongea kile kinachokusumbua, hakuna kitu kipya chini ya jua, utakutana na watu ambao walishinda matatizo kama yako watakusaidia.mkuu shida zote unazozijua nimezibeba mimi,nikianza kuelezea hapa mtanichoka...
kusema kweli i rarely pray esp now that am stressed....Huwa unasali? maombi ni dawa ya stress, sio Pombe.
ni kweli,ngoja nijaribu kuziondoa...Moja kati ya tiba ni kuongea kile kinachokusumbua, hakuna kitu kipya chini ya jua, utakutana na watu ambao walishinda matatizo kama yako watakusaidia.
hata hamu ya dick sina...Good Dick Heals...
Lakini jaribu kupata muda wa kuwa kimya peke yako,kimya bila kufikiri chochote kwa saa 1 inasaidia kuondoa stress.kusema kweli i rarely pray esp now that am stressed....
Binti mzuri kama ww kufikia uamuzi huu haipendezi stress kila mtu anazo na wala pombe sio tibaHabari jf...
Hapa nilipo am so stressed,nimejaribu njia kibao but still....
Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia...
Wale mnaotumia hii kitu inasaidia?? hata kwa muda tu...
I know time heals ila siwezi subiri,i just wanna be fine ndani ya muda mfupi...
Embu njoo mara moja geto nikuondoe streesHabari JF,
Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
Njema tu mkuu, sijui zakwakoUmetoka wapo kijana, kwanza habari za siku kiongozi