Habari JF,
Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
Punguza mawazoHabari JF,

Mkuu mm nipo very funny ukiwa na mm huwez pata stress so naomba tuwe pamoja nadhan huta jutaHabari JF,
Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
hahaha duhNyie mkishakunywa pombe huwa zinaamia chini! Kuna mwenzio aliwahi lala na wanaume saba bila kujijua akadamkia hospital.....
kila kituUna stress za nini?
hahahaAisee ni PM tu tukalianzishe.
Scorpio huwa wanaharibikiwa vibaya na addiction. ukiingia humo hutoki haitakuwa temporary solution ila utakuwa umetengeneza tatizo jipya.Habari JF,
Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
kila kitu
duh nimekuelewaScorpio huwa wanaharibikiwa vibaya na addiction. ukiingia humo hutoki haitakuwa temporary solution ila utakuwa umetengeneza tatizo jipya.
Kuna Tofauti Ya Dick Na Good Dick. Find Yoself A New Hobby Then.hata hamu ya dick sina...
Pole mama...Mapenz ndivyo yalivyo...maana sihitaji hata kukuuliza tatizo nini coz najua....Habari JF,
Hapa nilipo am so stressed, nimejaribu njia kibao but still. Sasa nataka nianze kutumia pombe labda itasaidia. Wale mnaotumia hii kitu inasaidia? Hata kwa muda tu.
I know time heals ila siwezi subiri, i just wanna be fine ndani ya muda mfupi.
asanteSio wazo baya as long as u can handle pombe ila sio wazo zuri kuanza kutumia pombe ukiwa katika stress.
Pombe inaweza kuyapunguza mawazo kwa muda ambao utakuwa umeshaitumia ila baada ya kuisha mawazo yako pale pale and u might end up do something ambacho utajutia mno na stress zitazidi.
Spend time with friends usikae mwenyewe mwenyewe.Zungumza na watu let it out,cry if u want ila usijiingize katika pombe kisa stress...Mawazo yapo hatuwezi kuyazuia ila ukiamua kutoyawaza unawez
Pole sana.