Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Idea namba "2" ni nzuri sana! Tafuta partner wa biadhara hasa wahindi, wasomali au waarab utafanikiwa! Akiwa mswahili basi awe na exposure
Yeah, ni idea nzuri sana sema inahitajika capital ya kutosha, like 64m mara mbili yake angalau. Ila kama nataka kuifanya hiyo naweza kuanza pia kidogo kidogo, nikaanza na something small then ikakua taratibu with time.
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho cha kutoa 30% interest per year..ingekuwa hivyo hata bank wangewekeza UTT au tungechukua mikopo bank tukawekeza UTT na kuilipa bila shida. BOT yenyewe wanatoa 12.56% kwa bond ndefu ya 25yrs sasa hao UTT ndio wawe vizuri kuliko BOT?Big NO
Kwanini usichukue muda wako mfupi kujifunza?
Kwanini usiende pale Sukari house ukajifunza halafu uje hapa unikatalie kwa facts?

Mbona ni kitu kidogo tu mkuu, wapigie hata simu kisha uje unieleze hapa kuwa nimedanganya. Usiwe kama mjinga unayebisha bila kufanya utafiti hata mdogo tu.
 
Kwanini usichukue muda wako mfupi kujifunza?
Kwanini usiende pale Sukari house ukajifunza halafu uje hapa unikatalie kwa facts?
Mbona ni kitu kidogo tu mkuu, wapigie hata simu kisha uje unieleze hapa kuwa nimedanganya.
Usiwe kama mjinga unayebisha bila kufanya utafiti hata mdogo tu.
mkuu wala sihitaji kwenda sukari house maana hiyo kitu ya 30% haiwezekani economically..yaani niweke 100m niwe napata 30m per year?wao wanafanya business gani hadi kuzalisha namna hiyo?sana sana na wao wanaenda kuweka kwenye bonds za BOT..hakuna return ya namna hiyo kwa hao jamaa na hawana hizo akili za kuzalisha that rate kwa mwaka.
 
mkuu wala sihitaji kwenda sukari house maana hiyo kitu ya 30% haiwezekani economically..yaani niweke 100m niwe napata 30m per year?wao wanafanya business gani hadi kuzalisha namna hiyo?sana sana na wao wanaenda kuweka kwenye bonds za BOT..hakuna return ya namna hiyo kwa hao jamaa na hawana hizo akili za kuzalisha that rate kwa mwaka.
Poa mkuu
 
Mimi kabla sijakupa ushauri naomba unifafanulie kwa namna ipi wewe, kama muajiriwa, ulivyoweza kusave 63m ndani ya miezi 8 tu.
Ili uweze kusave 63m ndani yra mieži 8, ni lazima ulikuwa unasave 8m kila mwezi.
Sasa hapo si kuna upigaji jiongeze
 
Yeah, ni idea nzuri sana sema inahitajika capital ya kutosha, like 64m mara mbili yake angalau. Ila kama nataka kuifanya hiyo naweza kuanza pia kidogo kidogo, nikaanza na something small then ikakua taratibu with time.
Tafuta partner... kwa Dodoma mtapiga pesa nyingi maana ni kitu kipya tena hakikisha inakuwa Wow! Hata watu wa Dar wakija wanakubali
 
Nasave hadi lini mkuu? Nature hya kazi ninazofanya ni za miradi ya miaka 5-7. Hapa nilipo mradi unaisha 2026, from there kinachofuata ni majaliwa, either niwahi kutoka kabla mradi haujaisha au nibahatike kupata mradi mwingine huu unapoisha. Sasa hata nikifanikiwa maisha hayo hadi lini? Way forward ni lazima nianzishe kitu changu cha kunitengenezea pesa nje ya ajira, hilo halikwepeki mkuu hata nikisave vipi..!! Hatua ya kusave inaenda vizuri hadi sasa, ila sasa hatua inayofuata ni lazima ni invest kuzalisha hii pesa mkuu!! Yaani hiki kitu kinaninyima usingizi daily nakaa nawaza hata hadi saa kumi alfajiri mara nyingi tu, wife anashtuka mara nyingi ananikuta niko awake anashangaa vipi wewe mbona hulali...?
Kusave peke yake hakusaidii mkuu, ni lazima ni invest!!
Utakuwa uko kwa wazungu wewe...ndo wenye mishahara hii
 
Huyo jamaa alikaa usa 15 years ila wenzetu wana bahati
Sisi kurudi bongo ni tumekuwa wahamiaji
Yaani diaspora tunaonewa na sheria zetu hazieleweki
JK alisema njooni muwekeze huku Lukuvi akasema hamuwezi kusogea kwenye ardhi
Kila mmoja na sheria zake tz sio katiba

Ila jamaa amejitahidi sana na amekaa mbali na watu kuogopa maradhi ya milipuko kwa mifugo

Bora nienda huko kuwekeza kwa kweli
Na bongo ni matembezi tu
Umuwahi MU7 sasa kabla hajadanja..akiingia yule mtoto wake mtakoma
 
Mimi ningeomba nikushauri ktk ufugaji wa Mbuzi nipo ktk huo ufugaji wa Mbuzi kwa muda mrefu, ni kweli ni mradi mzuri sana ila ningalikuomba ujaribu kwanza kupita kwetu sisi tunao fuga ili uweze kujua abc za ufugaji Mbuzi hii itakusaidia kujua pakuanzia na wapi usimamie na wapi unakwenda.
Kumbuka ni mradi unaohitaji usimamizi wa karibu na ni mradi amabao unalenwa sana na waizi kwasababu uibwaji wake ni wakirahisi sana na uuzwaji wa Mnyama mweneyewe ua nyama yake ni rahisi, kwaushauri wangu tutembelee kwanza wafugaji ndio ujuwe na ukate sahuri lakuifanya. kama upo Dodoma naomba tuwasiliane kwa ushauri zaidi. Ubarikiwe sana.
Mmmh abarikiwe sana eeeh
 
Back
Top Bottom