Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Feb 11, 2023
9,139
14,557
Nataka ninunue vipande UTT au niweke fixed account Ili nipate "mshahara" wa Kila mwezi kupitia gawio la mwezi.

Nikipata 500k kwenye gawio Kwa mwezi itatatosha maana tayari nina njia zingine za kuniingizia mia mbili mia tatu.

Nataka nikafanye mambo mengine huku nikiwa na sure na cashflow kwa ajili ya familia na watoto.

Natanguliza shukrani.
 
Inaonekana kuna tapeli kakuwin tayari, we kaweke hiyo 30m ili uwe unapata laki 5 kila mwezi.

Dezo mbaya sana.! Isitoshe ni ujinga yaani m30 ikuingizie laki 5

M30 unapata laki 5 kwa mwezi ni sawa na 17000 kwa siku.
Ukiongeza akili kidogo tu.

M30 unanunua bajaji 3 na chenji inabaki.

Bajaj 3 kila siku 15000 bajaj 1 × 3 = 45,000 per day.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom