Nina raha jamani

hahaha kapona jamani dear, madekezo yote niliyompa ataacha kupona tena?

Sikujua kumbe kapona dear wako ndiyo maana unarukaruka lakini natumaini bado hawezi kukabana vizuri kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh, chit chat kwa afya.
 
Dawa yako nakupeleka Kabakabana Bar&Gest House, si unajua kuna corridor nzuri tu, private space we subiri utaona. Usikatae mwaliko wangu lakini.

mhh nakuomba ulale kwa amani
 
Sikujua kumbe kapona dear wako ndiyo maana unarukaruka lakini natumaini bado hawezi kukabana vizuri kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh, chit chat kwa afya.

kapona viungo vyote lol
 
kapona viungo vyote lol

Nikitaka ugomvi eendelee nikumwambie dear wako ni D'Salaam, basi namaliza kwa kusema dear wako ni Arusha kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh, vipi hapo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…