Nina negative attitude na watu wa Pwani

Nina negative attitude na watu wa Pwani

Yamekuingia unaomba poo,mji una wenyewe mtaishia kuzunguka na madeli ya kahawa na kuuza maji baridi vituoni halafu ikifika usiku mnajipeleka kwenye vibaraza vya wahindi halafu kinachotokea usiku unafanya siri mwisho unakuja
kuzoea
@Mumba Daly post zako zimejaa ufirauni na kama wewe ni teenager usije kuoa na kama umeoa basi wanawake wanavumilia mengi!!
 
Inawezekana kuhusu hilo swala kusoma usiwaone huko kwani sote tunajua mikakati inayofanywa ktk kuhakikisha hatuchomozi lakini kat kusaka mafanikio kuna namna nyingi na wengi wetu tumejikita kwenye biashara na maisha yanaenda.
Kwa hiyo kwanza unakiri kuwa elimu imewapitia kushoto?? Nashukuru sana kwa kuwa muwazi na mkweli wa nafsi
 
Watu wa PWANI kuweni wapole jamani , ni majadiliano tu hapa na sio ugomvi , naona mnaanza kuleta mipasho ya taarabu hapa, maana that is what u guys do best.... poleni sana...
Kuna neno la ukali nimeliandika, au majadiliano maana take sio neno kwa neno, binafsi hayanisumbui hakuna kwasababu hakuna kwenye hoja hapa.
 
M
Kwa hiyo kwanza unakiri kuwa elimu imewapitia kushoto?? Nashukuru sana kwa kuwa muwazi na mkweli wa nafsi
Wenye Elimu nchi hii Ni nani bwana, acha kujitamba ikiwa hata stick za kujichokonolea meno tunaagiza nje,hiyo Elimu yenu inatusaidiaje?
 
Last edited:
Aisee kweli sie watu wa pwani tulifanya makosa kuacha "teknolojia" yetu ya Albadir. Hata hivyo bahati yako niko mbali ningekuwa Tanzania ningekuendea kwa babu yangu Msanga, hata posti hii usingeifikia kuijibu maana ww @moghasa ni mtu hatari sana.
 
Sijakuelewa mkuu
Umetaka wa pwani wawe wapole, kwa sababu Ni majadiliano Tu. Nimekujibu sijaweka neno lenye ukali kwenye bandiko langu, pia maana ya majadiliano, Ni neno kwa neno ama hoja kwa hoja, nadhani umenielewa sasa.
 
Mi si mtu wa pwani lakini ni kosa kubwa kufanya generalisation,kwanza watu wa pwani sio wazaramo pekee,kuna tanga,unguja,pemba,mtwara,na lindi.watu wa pwani ni watu wenye laid back culture,hawana papara,ukitazama hata historia ya tanzania pwani ndiko ustaarabu na miji yote mikubwa ilipokuwa kipindi hicho,sasa sijui nini kilitokea baada ya kupatikana uhuru kuwafanya miji yao i.e tanga,mtwara,lindi ndo ikaja kuwa nyuma kabisa kimaendeleo,baadhi wanasema eti nyerere ndio alietia lock.ila na kale kaupepo kabahari nako kanatia uvivu tuache utani
 
Ni utamaduni wao waliojijengea kumbuka kuna utamaduni wa wale wenzetu wa kule waliokubali mpaka kuolewa kwa ajili ya pesa
 
Umetaka wa pwani wawe wapole, kwa sababu Ni majadiliano Tu. Nimekujibu sijaweka neno lenye ukali kwenye bandiko langu, pia maana ya majadiliano, Ni neno kwa neno ama hoja kwa hoja, nadhani umenielewa sasa.
Nimekuelewa sasa mkuu , na pia mimi ndio navyoona kuhusu watu wa pwani , ila kama kuna mtu ana ushahidi au facts zozote against this negative attitude anaweza akatoa tu hapa...
 
Mada ni Nzuri tu hata mimi ni wa pwani, lakini nawaona wanaotoka bara ni tatizo kubwa..ila kujadili kwa ustadi ungeweza kueleza kwa mifano nani ni nani na amefanya nini na ameshindwa wapi au kasoro gani
kukusaidia tuanze na hivi
wafanya biashara
wanasiasa
madaktari
wezi
majambazi
kula kulalala
malaya
mafisadi
waaminifu

sasa ukitaka tujadili anza na hayo then toune nani zaidi
 
Nimekuelewa sasa mkuu , na pia mimi ndio navyoona kuhusu watu wa pwani , ila kama kuna mtu ana ushahidi au facts zozote against this negative attitude anaweza akatoa tu hapa...
Labda sijatembea mikoa mingi, ila kwa mikoa michache niyowahi kupita sijaona tofauti ya maisha, kati ya watu pwani na huko bara, kuanzia nyumba zao, chakula chao, usafiri wao, maisha ni yale yale.
 
Ni kweli joto linawaathiri pia na ndo upelekea wanawake wakae wamawaza kudinyana kwa kuwa wanashinda hawajavaa nguo
Ekusema eti watu wa pwani wanawaza kudinyana tu, wapi Tanzania hii ambako tendo hilo halifanyiki, mbona bado mnazaliana tu hata ukitembea kwenye madanguro Dada zetu wanaojiuza wengi ni wenyeji wa bara.
 
Ekusema eti watu wa pwani wanawaza kudinyana tu, wapi Tanzania hii ambako tendo hilo halifanyiki, mbona bado mnazaliana tu hata ukitembea kwenye madanguro Dada zetu wanaojiuza wengi ni wenyeji wa bara.
Wahaya ni watu wa pwani??
 
Wahaya ni watu wa pwani??
Wewe hujanielewa, kuna mtu kaandika hapo juu, kuwa sisi watu wa pwani kwa sababu ya joto, hatuvai nguo kitu kinachochea kidinyana. Akimaanisha tunapenda sana kudinyana, ndipo nikamjibu atembelee kwenye madanguro aone Dada zetu wanaojiuza wengi ni wenyeji wa wapi. Nimetumia neno Dadazetu kwa sababu wengi wanaujiza ni Watanzania wenzetu, na kama si watanzania ni waafrika wenzetu, nadhani utakuwa umenielewa.
 
Watu wa Pwani wako vizuri, mazingira yao na yako ndio yanakupa tofauti unayodhani ipo. Kuna toto/jukuu moja la Kighoma Malima limefanya vizuri huko duniani, linaitwa Asanterabi kama sijakosea. Si wameongoza chama tawala mara nyingi zaidi kuliko watu wa Bara, Pwani mara mbili na Mtwara mara moja. Ina maana hata Kingunge hajafanya kitu? Pm wa sasa anatoka bara ya wapi? Kuna Mama mmoja alipambana kudai Uhuru hadi barabara moja hapo Dsm inaitwa kwa jina lake umemsahau kweli? Hivi akina Mtemvu Enzi ya Julius hawakuwa na kitu? Je akina Kibasila ni wa wapi?
Vijana wengi wa Kitanzania hawaijui Historia ya nchi yao.
 
Back
Top Bottom