Nina negative attitude na watu wa Pwani

Nina negative attitude na watu wa Pwani

Kusema ukweli mimi naungana na mleta mada, hawa watu huwa nawadharau sana hata kama ni kiongozi alafu huwa nawaona watu wasiokuwa siriaz. Hii imeanza nilipoanza kusoma nao Tambaza, chuo na kipindi nafanya tempo kwenye NGO ya plan internation iliyopo Kisarawe ambapo nilipata fursa ya kuwatembelea sana.Ila wasambaa wa Lushoto kidogo wanajielewa labda ni kutokana na baridi.
 
@kasigazi kalungi kwani baridi ya lushoto inaeffect fulani eh!!

kuna member hapa kasema wapwani tatizo joto sikutaka kumwamini!!

kama naamini sasa!!
 
Watu wa pwani unawadefine vipi _ wale wazawa wa ukanda wa pwani (tanga-mtwara: km 100 kwenda ndani )? Au watu wa mkoa wa pwani?
 
Usikariri lile tukio ulilofanyiwa na watu wa Pwani kijana wale ni WAVUVI tuu ndio MABASHA!!! Wapwani mbona tuko poa tuu na tunaiendesha vyema bongo yetu mpaka huku duniani!!

Weka negativity kwa Wavuvi(Mabaharia) kwa lile tukio walilokutendea!!
 
Watu wa pwani unawadefine vipi _ wale wazawa wa ukanda wa pwani (tanga-mtwara: km 100 kwenda ndani )? Au watu wa mkoa wa pwani?
Hawa ni wazawa wa kandokando mwa bahari mkuu!!

sijui nini shida!!!
 
Watu wazuri (whatever the meaning) wapo sehemu zote za Tanzania. Mimi sio mtu wa Pwani lakini ningependa mleta maada aseme anatoka wilaya gani ili watu waseme ya kwao.

Hivi tunajidanganya kuwa kuna sehemu zimeendelea sana Tanzania?
 
Wachaga nyie tukaneni watu wa pwani lakini kaeni mkijua hamtakuja kuingia ikulu ili muibie nchi zaidi, nyie mlio serious na watu wenye akili si tunaona jinsi mlivyoigeuza tz kuwa kama ulaya? Tutamuomba Mungu atuondolee hili taifa la watu wa pwani ili wachagga mlio na akili kama watu wa israel mtawale tz
 
Issues sio maendeleo kwa ujumla mkuu!!

kwa sababu ukichukua total average ya ukanda ulioendelea basi pwani si haba! kwani sehemu kuendelea kuna sababu nyingi sana, hata za kihistoria

kwangu mimi kinachonipa mashaka je ni kweli utamaduni wa watu wa pwani unamadhara hata katika utendaji wao wa kawaida na maisha yao kwa ujumla wake!! au nn shida!!

kama sio kweli basi wakurya sio wakorofi na wenye hasira na wachagga sio wafanyabiashara!

Ni hisia zangu tu!!
 
Huwa nachoka na kamsemo kao kuwa ukishikwa ugoni mara nyingi ndo ujaisiri.
Personally huwa wananikera ktk baadhi ya mambo ila hamna namna nao wameumbwa na mola inanipasa kuishi nao ivyo ivyo
 
Maisha yamenifanya niishi nao hawa watu kwenye mkoa wao.

Ninadhani ni watu wanaochangia kuirudisha nyuma Tanzania yetu.

..... Umesahau wizi na ufisadi mnao fanya ! Mnashirikiana mpaka na Maaskofu wenu kuiba ! Mmeanzisha na Banki ili kutakasa fedha haramu! @Sumu
 
Wachaga nyie tukaneni watu wa pwani lakini kaeni mkijua hamtakuja kuingia ikulu ili muibie nchi zaidi, nyie mlio serious na watu wenye akili si tunaona jinsi mlivyoigeuza tz kuwa kama ulaya? Tutamuomba Mungu atuondolee hili taifa la watu wa pwani ili wachagga mlio na akili kama watu wa israel mtawale tz
"You are just giving a dog bad name "

mie sio mchagga,

nashukuru Mungu pia kabila langu limewahi kutoa rais wa nchi hii!!
 
"You are just giving a dog bad name "

mie sio mchagga,

nashukuru Mungu pia kabila langu limewahi kutoa rais wa nchi hii!!
Sasa kama kabila lako lina akili c ubaki nalo watu wapwani wazuia vipi akili na uelewa wa kabila lenu!? Tanzania hii pwani ina asilimia ngapi kwani??
 
Back
Top Bottom