moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,253
Wakuu,
Najua mko sawa kabisa mnaendeleza harakati za maendeleo,
Back to point!!
Nina tatizo sijui lilianza kipindi gani sikumbuki, ninachojua nina mtazamo mbaya sana na watu wa Pwani.
Nawaona kama watu wasioweza mambo makubwa yanayohitaji ujuvi. Kwangu mimi mtu wa Pwani hata akiwa daktari hospital naona kama sio mtaalamu. Hii haikunianza baada ya baba Riz kuwa mkuu wa kaya, ni tangu kipindi cha nyuma..
Labda nisaidiwe tiba kwa kunitajia watu wa Pwani waliowahi kuwa viongozi na kufanya vizuri katika kada zao, labda itasaidia.
Sina nia mbaya! Lengo langu nipone huu mtazamo mbovu!
Aksanteni..
@samurai
@FaizaFoxy
@Zanzibar spice
@Ritz