Nina negative attitude na watu wa Pwani

Nina negative attitude na watu wa Pwani

Wako busy na elimu akhera. Akishakuwa na minazi yake anaona kashamaliza kila kitu anaanza kuoa na kucheza ngoma watoto.
Luqman-Maringo.png

Hiyo ndio Elimu akhera tunayo fundishwa wewe AlKafirun @Sumu
 
..... Umesahau wizi na ufisadi mnao fanya ! Mnashirikiana mpaka na Maaskofu wenu kuiba ! Mmeanzisha na Banki ili kutakasa fedha haramu. mtukufa midomo wazi makafiri wakubwa nyie ! @Sumu
sitaki kutoa maana ya neno @Bandiwe kwa lugha yangu ya kwanza , ntaonekana muhuni!!

back to topic!!

kama mtu unalala mdomo wazi usiku kucha! siku ya kifo utaachama tu we @Bandiwe, ndiyo!! hamna namna nyingine!!
 
ni rahisi sana kumuamsha aliyelala lakini ni vigumu sana kumuamsha aliyejisingizia kulala
pengine uungwana wa watu wa pwani na ukarimu ndio unaosumbua kwa mfano kutochukua maamuzi magumu kwa kuweka ubinadamu mbele zaidi
wapo wengi waliofanya vema toka zama za uhuru kwa kupigania uhuru na kumkaribisha mzanaki ktk jiji la mzizima (dar es salaam) na kushirikiana nae ktk harakati za uhuru.
wapo wengi kama huyu mzaramo anaitwa ramadhan dau, abdulrahman babu, abby sykes, kigoma malima,.
 
Kweli si unamuona mkwere hana hata shida kusema kuwa mnasema....ndio kwanza yeye ana cheka cheka tu.
maisha yenyewe mafupi haya ukisema usikilize ya watu utajikuta maisha yako yote unasikiliza watu, walianza wanaume wa dar wakaona wamo pia ndugu zao waliotoka huko wapo dar now wameamua waje hivi, we dont care
 
Mi kila nikona mnazi au nazi nasikia roho na mwili vinauma kuliko maelezo
 
Lakini ndio Hawa Hawa wa Pwani wametukalibisha wa Bara kwenye mji wao!!!! Hilo tu linafaa kuwakubali na kuwaheshimu... Kuna Mikoa Ina ubinafsi Sana.
Sio kwamba wametukaribisha , ni kwamba wao wenyewe fursa za hapa hawaziwezi , ni lazima tuje tuwasaidie kuzichukua na kuzichangamkia...
 
wakuu,
Najua mko sawa kabisa mnaendeleza harakati za maendeleo,

Back to point!!

nina tatizo sijui lilianza kipindi gani sikumbuki, ninachojua nina mtazamo mbaya sana na watu wa pwani.

Nawaona kama watu wasioweza mambo makubwa yanayohitaji ujuvi.

kwangu mimi mtu wa pwani hata akiwa daktari hospital naona kama sio mtaalamu,

Hii haukunianza baada ya baba Riz kuwa mkuu wa kaya! nitangu kipindi cha nyuma

Labda,nisaidiwe tiba kwa kunitajia watu wa pwani waliowahi kuwa viongoz na kufanya vizuri katka kada zao, labda itasaidia.

sina nia mbaya! lengo langu nipone huu mtazamo mbovu!

Aksanteni.

@samurai
@FaizaFoxy
@Zanzibar spice
@Ritz
Watu hawa wa pwani wameponzwa na lishe yao, imewafanya kudumaa akili maskini hawa watu wa watu.. mm huwa nawaonea huruma sana
 
Maisha yamenifanya niishi nao hawa watu kwenye mkoa wao.

Ninadhani ni watu wanaochangia kuirudisha nyuma Tanzania yetu.
Newewe pia Ni mmoja ya wanaoirudisha nyuma Tanzania, kwa kukimbia maisha magumu kwenu Na kukimbilia pwani, usione vya eleya.........
 
Maisha yamenifanya niishi nao hawa watu kwenye mkoa wao.

Ninadhani ni watu wanaochangia kuirudisha nyuma Tanzania yetu.
Ingekua vyema ukarudi mkoani kwenu ukawaacha watu wa pwani kwao
 
Watu hawa wa pwani wameponzwa na lishe yao, imewafanya kudumaa akili maskini hawa watu wa watu.. mm huwa nawaonea huruma sana
Ebu weka kile wewe binafsi unadhani unawazidi watu wote wa pwani.
 
So what kama una "negative attitude" na "Watu wa Pwani"? Halafu wee kama nani hadi udai "uponywe"?

Lots of peeps wana issues na gays, lesbians, Whites, Blacks, Indians, paraplegics, PwA, Arabs, Biracials, etc, lakini they don't make a big deal out of it.

"Watu wa Pwani" ni watu wa aina gani hao anyway?
 
Vijana wa pwani sio jambo la ajabu kukuta kijana wa miaka 40 bado anategemea wazazi....
Hili Ni janga la nchi mzima mkuu, kila uendapo wapo Na ukilazimisha maisha umepotea, ama utasikia yaliyotokea Iringa wanaume kuwa shoga.
 
Fursa gani umetumia wewe mkata nyasi, mbona mnapenda sifa? Unaweza kumuona mtu ana pea moja ya viatu anazurura nayo toka kinondoni hadi mbagala na kuuza hauzi, sasa ndo fursa hizo?
Ebu weka kile wewe binafsi unadhani unawazidi watu wote wa pwani.
Watu wa PWANI kuweni wapole jamani , ni majadiliano tu hapa na sio ugomvi , naona mnaanza kuleta mipasho ya taarabu hapa, maana that is what u guys do best.... poleni sana...
 
Fursa gani umetumia wewe mkata nyasi, mbona mnapenda sifa? Unaweza kumuona mtu ana pea moja ya viatu anazurura nayo toka kinondoni hadi mbagala na kuuza hauzi, sasa ndo fursa hizo?
Huyo mzururaji toka kino anabandiko la mkoa atokako kwani?
 
Ebu weka kile wewe binafsi unadhani unawazidi watu wote wa pwani.
Fursa gani umetumia wewe mkata nyasi, mbona mnapenda sifa? Unaweza kumuona mtu ana pea moja ya viatu anazurura nayo toka kinondoni hadi mbagala na kuuza hauzi, sasa ndo fursa hizo?
Kwanza mimi katika hatua zangu mbalimbali za kusoma , nyie watu mlikuwa wachache sana kama sio hampo kabisa , hususan kwenye elimu ya juu ,,, maskini watu wa pwani kwenye vyuo vikuu ni wa kuhesabika , compared na watu kama wachaga, wanyakyusa, wahaya na jamii zingne... kwa kweli sijajua ni kwa nn wapo wachache namna hii , naombeni kusaidiwa tafadhali...
 
Back
Top Bottom