Nina negative attitude na watu wa Pwani

Nina negative attitude na watu wa Pwani

Wewe hujanielewa, kuna mtu kaandika hapo juu, kuwa sisi watu wa pwani kwa sababu ya joto, hatuvai nguo kitu kinachochea kidinyana. Akimaanisha tunapenda sana kudinyana, ndipo nikamjibu atembelee kwenye madanguro aone Dada zetu wanaojiuza wengi ni wenyeji wa wapi. Nimetumia neno Dadazetu kwa sababu wengi wanaujiza ni Watanzania wenzetu, na kama si watanzania ni waafrika wenzetu, nadhani utakuwa umenielewa.
Mkuu wewe nilikuelewa vema hilo swali ni la huyo mbwiga
 
Lakini ndio Hawa Hawa wa Pwani wametukalibisha wa Bara kwenye mji wao!!!! Hilo tu linafaa kuwakubali na kuwaheshimu... Kuna Mikoa Ina ubinafsi Sana.
mikoa ipi ina ubinafsi unaosema? ulishaenda mkoa wowote wa tz ukafukuzwa kisa sio mzawa wa pale?
 
Wako busy na elimu akhera. Akishakuwa na minazi yake anaona kashamaliza kila kitu anaanza kuoa na kucheza ngoma watoto.
aisee mkuu sumu unatema sumu si kitoto duh
 
Aisee kweli sie watu wa pwani tulifanya makosa kuacha "teknolojia" yetu ya Albadir. Hata hivyo bahati yako niko mbali ningekuwa Tanzania ningekuendea kwa babu yangu Msanga, hata posti hii usingeifikia kuijibu maana ww @moghasa ni mtu hatari sana.
Haaaa haaaaa!!

babu yangu alikuwa mtemi @Mipangomingi haaahaaaa!!! albasir inadunda kwangu ka kitenesi!!
 
Watu wa pwani ndio waliokufundisha jinsi ya kuchamba na kuacha kuchambia jiwe leo unawatukana
 
tatizo mkuu si kanda bali utamaduni. kila sehemu kuna utamaduni ambao huchochea au kudumaza maendelea.
waafrika wana utamafuni ambao tofauti na jamii za ulaya na kwingineko. utamaduni unahusika sana na maendeleo ya watu
 
Watu wa pwani ndio waliokufundisha jinsi ya kuchamba na kuacha kuchambia jiwe leo unawatukana
mkuu hakuna aliyemtukana mtu wa pwani hapa!!

issue ni je, utamaduni wao ni tatizo au nn shida ndiyo hoja ya msingi!
 
Sasa wewe unataka kuwafundisha upi au nani aliekuambia utamaduni wako ni bora zaidi? Acha mambo ya kishamba.
 
Hilo ni tatizo la watu wengi wanaotoka bara kuja Pwani aidha kutokana na kazi au kielimu ndivyo wengi wanavyokuwa wala sishangai saanaa elewa watu wa Pwani ni Wakarimu sana na si wabaguzi...!!
 
Harakat za uhuru wa nchi hii zilipiganwa na watu wa pwani..

Na hivyo vijiwe vya kahawa ndo zilikua vijiwe vya mabadiliko

Jifunze usidharau watu

Halafu haya mambo ya makabila usiya entertain

Swala la kuchagua elimu gan mtu asome ni utashi wa mtu kama anaona ye itamsaidia halafu maelezo yako ni kama vile umewafahamu watu wa pwan kwa kuhadithiwa.

Swala la uvivu hilo ni tatizo la nchi nzima na ni hulka ya mtu.
Utakuta mtu ni mchaga aneza asiwe mfabya biashara na akaamua kufuga dread ili apate dem wa kizungu.
 
Haaa haaaaa! @moshi vijijini
@missmiss chaga
mimi simo hapo kwenye dread!!
 
Last edited:
Wengi Wao Hawako serious, Wanapenda Kuleta Utani na Kucheka Pale Inapotakiwa Kukasirika Na kutoa

Maamuzi Imara. Wengi wao Wamekaa Kama Kujaribisha Jaribisha vitu; Ndivyo Walivyo Na They are not

serious siyo siri. Ni watu Wanaopenda Kuchukulia Mambo Kirahisi Rahisi...

Ngoja waje mkuu, watoe ufafanuzi!
 
Back
Top Bottom