Nina mpenzi wangu

soul provider

JF-Expert Member
Jun 21, 2014
1,341
2,104
Salam Wakuu!
Kwa kweli miaka ya nyuma nilikuwa napata wakati mgumu sana ninapomtongoza mwanamke halafu anajibu simple tu 'Nina mpenzi wangu'
Nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu mwili mzma Mwisho wa siku nakosa totoz kwa sababu stimu za kuendelea kumuimbisha zinakata kabisa!
Wenzangu mlikuwa mnasolve vp mkikutana na jibu kama hili?
 
Nawaheshimu sana wanaosema wanawapenzi...ninawashukuru na kutambaaa
Afu mwisho wa siku anajirudi. Sijui huwa tunabadirika???. Kama unampenzi endelea nae tu hakuna kurudi na kuanza kujipendekeza. Cha ajabu hawa watu wakijipendekeza usipowatongoza wanakutangazia bwa bwa. Hiki kitabia kinauzi hakuna mfano. Kwanza wajue na wanaume wanahisia so akikutosa unamzushia bwa bwa akati ulikataa na kusingizia nyumba yako wapangaji wamejaa
 
Back
Top Bottom