soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,346
- 2,160
- Thread starter
- #61
Hata siku hzi bado wengine wana hulka hiyo ila nikagundua inshu kukazaKipindi hicho wanajibu hivyo wasionekane wako cheap.
Hata siku hzi bado wengine wana hulka hiyo ila nikagundua inshu kukazaKipindi hicho wanajibu hivyo wasionekane wako cheap.
Nimekuelewa mkuu, ngoja niwe na subraMpotezee kuhusu kumtongoza kabisa, we endelea kumsifia na kumsalimia, polepole utamsikia. Usiwe na haraka sana, Mwanamke kukupa moyo wake kwa anayejielewa huwa siyo haraka sana kivile, otherwise kama anatengeneza spare.
......eti anajibu ana mtu wake kwani kaambiwa ww unataka mwenye mnyama? wanatoa sababu nyepesi kweli kweli.Hata siku hzi bado wengine wana hulka hiyo ila nikagundua inshu kukaza
Wanachosha sana........eti anajibu ana mtu wake kwani kaambiwa ww unataka mwenye mnyama? wanatoa sababu nyepesi kweli kweli.
Duu kama ni ivyo bac komaa naeOh sio kirahisi hivo Mkuu utakuta demu umempenda balaa.. Ukifumba na macho unamuona yeye, akili yote inakushuhudia she is the one!
"ha ha ha nilikuwa na waambia hata mimi ninae tena nakaribia kuoa "Salam Wakuu!
Kwa kweli miaka ya nyuma nilikuwa napata wakati mgumu sana ninapomtongoza mwanamke halafu anajibu simple tu 'Nina mpenzi wangu'
Nilikuwa nahisi kuishiwa nguvu mwili mzma Mwisho wa siku nakosa totoz kwa sababu stimu za kuendelea kumuimbisha zinakata kabisa!
Wenzangu mlikuwa mnasolve vp mkikutana na jibu kama hili?
Duh umetisha Mkuu, sasa hapo unapeperusha ndege mazima"ha ha ha nilikuwa na waambia hata mimi ninae tena nakaribia kuoa "
Hapo tena majanga Mkuu, mambo ya kumtafuta mchawi Wa dyudyu langu kumbe me mwenyeweUkizinguliwa unasugua mkono wa birika,,,Kaa karibu na sabuni mkuu
"Sikakataa.. nami naonyesha sina njaa, kumbe na nyege mwili mzim"Duh umetisha Mkuu, sasa hapo unapeperusha ndege mazima
😀"Sikakataa.. nami naonyesha sina njaa, kumbe na nyege mwili mzim"