AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,233
- 20,526
Niachie namba yake km unayoHaina makombo mzee
ACha kulia lia
Niachie namba yake km unayoHaina makombo mzee
ACha kulia lia
PoleHata kama ni mimi nisingeweza kuvumilia hasa nikikumbuka ilikua ikichomoka anairudisha mwenyewe mbiombio 😥
Kingine unaweza kuta wakati unamnyandua anavutia hisia kwa hilo lijamaa lake 😭😭
Amteme kisha akuchukue weweMteme kama anazingua
Mwanzo alivyo maliza form six alikuwa mtu na nusu alivyo enda chuo akarudi mwingineMsaliti msaliti tu
Piga chini
Japo wa zamani sio wa sasa,labda alibadilika
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama kisa cha kutunga!Aliyesalitiwa kisela hivyo?
Unataka kusema niniNYIE WAPUMBAVU NITAWASHAURI MPAKA LINI
Sijui kama anaendelea ila sina amaDuuh achana nayo yalishapita, kwani bado anakusaliti?
Mawasiliano lazima yayakuwepo kwaKwa nini utelekeze uendelee kubaki na majukumu, piga divorce tu kitu kamili ili km bd unaumia unarudi kupasha, kutelekeza maana yake bado ni wako tu unatoa chenji nusunusu sitaki nataka?
Aliliwa akiwa mchumbaAliliwa uko chuo ukiwa umemuoa tayari au bado?kama ilikuwa tayari umemuoa mpige chini haraka msaliti sio wa kumsamehe
Bila shaka wewe ni mwanamkeHivi huwa mnachimba nini? Mnachokitafuta sasa umekipata. Si vizuri kuchimba mwanamke.
Kwa sasa yupo vizuri shida ni hizo tabia za chuoSwali muhimu, amekuwa mke wa aina gani kwako tangu kipindi hicho?
Ni inshu ya kweli kabisa na inanihusuKwa jinsi ulivyoandika ni kama kisa cha kutunga!Aliyesalitiwa huwa anaandika kisela hivyo?
MnipeKwa sasa yupo vizuri shida ni hizo tabia za chuo
Moyo wangu umegomaUsimpige chini maana unaimiliki wewe. Hakuna binadamu malaika. Hata wewe unamchiti.