H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 889
- 1,649
Moyo ukigoma ina maana umekufa ,mambo ya kitambo wakat anasoma na siyo wakati upo naye funika kombe mwana haramu apiteMoyo wangu umegoma
Moyo ukigoma ina maana umekufa ,mambo ya kitambo wakat anasoma na siyo wakati upo naye funika kombe mwana haramu apiteMoyo wangu umegoma
WawiliMna watoto
[QUOTE="ndalaweya, post: 56261262, member: 830316"5]
Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
Tulikuwamlikua wapenz kipindi hicho ?.
kama mlikua wapenzi ni uamuz wako umsamehe au umwache ni vile utapendelea.
ila kama hakuampenz wako haina haja saaana ya kuumia.
{ hiyo post haijaelezea sana }
Komaa nayeWawili
Basi usiruhusu past mistakes ziharibu ndoa yenu.Kwa sasa yupo vizuri shida ni hizo tabia za chuo
Acha wivu yaliyopita yamepita ganga yaliyopo na yanayokujaNimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
Ukimtelekeza ndio suluhisho ?
Unamuachia nani ? Pambana na hali yako, huyo ndio chaguo lako !!!
Mbunye haichungwi, akiamua analiwa kila siku na hutojua !
Dahl, kumbe hakuwa mkeo? Yaani hilo nalo mpaka uje utusumbue hapa?Nilikua nimemchumbia na kila wiki alikuwa anakuja geto maana alikuwa anasoma SAUT mbeya Mimi nakaa tunduma nauli ilikuwa elfu nne
Unamchumbia demu wa chuo.! Vijana mnachekesha sana 😀😀Nilikua nimemchumbia na kila wiki alikuwa anakuja geto maana alikuwa anasoma SAUT mbeya Mimi nakaa tunduma nauli ilikuwa elfu nne
Kwani mwanamke si binadamu? Unadhani neno lako ndilo litanigeuzq jinsi? Acheni kuchimbua ya mwenzi wako ya nyuma, angaza mbele. Watu huwa wanabadilika kutokana na makosa ya nyuma.Bila shaka wewe ni mwanamke
Kama unamtaka wa hivyo nikuachieDahl, kumbe hakuwa mkeo? Yaani hilo nalo mpaka uje utusumbue hapa?
"Life is changes" - Best Naso.Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida