Nina mpango wa kumtelekeza mke

Nina mpango wa kumtelekeza mke

But historia haifutiki ukizingatia Mimi nimejua sasa hivi
Ya nyuma achana nayo ,wewe anzia ulipokutana naye ,hakuna mwanamke utakayekuja kuoa ndiyo wewe uwe wa kwanza,wengi wanakuwa washapitia mbigwa mbigwa za mjini ,anajaza hata ki-Hiace body counts.
 
Ya nyuma achana nayo ,wewe anzia ulipokutana naye ,hakuna mwanamke utakayekuja kuoa ndiyo wewe uwe wa kwanza,wengi wanakuwa washapitia mbigwa mbigwa za mjini ,anajaza hata ki-Hiace body counts.
Mimi nilimchumbia kabla hajaenda chuo tayari Nilikua nimepeleka mahali kwao
 
Kama alifanya hayo akiwa mke wako naunga mkono hoja maana hata ukimsamehe hutamwamini na kuishi na mtu usiyemuamini ni tatizo.
 
Tajiri kila mtu akiacha mke kisa kachapiwa, watu wachache sana watabaki na wake. 😊
We komaa tuu na kipochi chako.
 
Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
Jamani jamani mbona mambo yamepita hayo
 
Wake za watu vyuoni wanang'atwa sana ,vyuoni sio sehemu salama kwa wake za watu
 
Mtu ameamua kutumia kiungo cha mwili wake, afu ww ndo unaumia.

Msamehe
 
Nimegundua amenichiti sana kipindi anasoma chuo miaka mitatu imepita nimejua leo baada ya kufungua akaunti ya Facebook aliyo kuwa anatumia wakati huo yupo chuo na kusoma mesenja za zamani walivyo kuwa wanapeana mautamu moyo wangu unamaumivu so kawaida
Nipe namba yake niseme nae
 
Unamchumbia demu wa chuo.! Vijana mnachekesha sana 😀😀
Mtu kama hajapita chuo huwa hawaelewi mbaga za chuo.

Unakuta demu anasoma kozi ya miaka mitatu🙌🙌😂😂😂

Average kila semister anawanaume watatu😬😬😬

kwa miaka 3 uwongo uwongo wanaume 18 wanakuwa WANAKUWA WAMEMGUDHA/SHENYENTA/KUICHAPA 😂😂😂

Wanaooa wasomi mnaoa WANAWAKE AMBAO WANAEXPERIENCE NA CV ZA KIMATAIFA KATIKA MIZAGAMUO(SEX EXPERTS).WAKIRUDI MTAANI NI MWENDO WA KUZIGAWA TU MAANA HAWAJAZOEA KUKAA NA MWANAUME MMOJA KWA MUDA MREFU HIVYO.

📌UKIOA HAWA WASOMI JIPANGE KABISA KISAIKOLOJIA.
 
Back
Top Bottom