Ulimkuta bikira?wakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?