Nina mke mjeuri sana. Naombeni mnishauri

Ukiwa unapiga machine vizuri huwa anakuwa kama mwanafunzi shule seminar.

Kuna haja ya kueleza kwa kina?
Mkuu jibu lako lipo hapa,ukiwa unamridhisha kitandani hata tabia njema atajifunza mwenyewe...kiufupi mwanamke ana MASIKIO matatu,achana na haya mawili ya kwenye kichwa lipo lingne lipo katikat ya mapaja yake ukilizibua vzuri huwa wasikivu mno!...Sie wenzenu tunaamkiwa shikamoo baba flani na magoti juu maana sikio latatu tumelizbua vzuri!
 
wakuu nimefuatilia maoni yenu kwa ukaribu zaidi,,,niseme tu ahsante kwa kuonesha kujali,,ngoja niunganishe baadhi ya mawazo niliyoyaona yanafaa halafu nitengeneze msimamo wangu,,, nitarudi kuwapa mrejesho kitakachotokea
 
wakuu nimefuatilia maoni yenu kwa ukaribu zaidi,,,niseme tu ahsante kwa kuonesha kujali,,ngoja niunganishe baadhi ya mawazo niliyoyaona yanafaa halafu nitengeneze msimamo wangu,,, nitarudi kuwapa mrejesho kitakachotokea
Mkuu kwenye uchambuzi wako chukua na hii

Kuoa mke maana yake ni kuchukua majukum ya baba na kupewa wewe(mume)

Kwaiyo una jukumu la baba kwa mtoto, unatakiwa utumie kila njia kuhakikisha unamlea huyo mke katika malezi bora na awe na tabia njema

Pale waliposhindwa wazazi wake wewe unatakiwa uparekebishe cha muhimu tumia busara katika kila jambo usikimbilie kuacha maana unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga m,,,,,vi

Pole kwa changamoto ndio ukubwa huo
 
Nampenda sana single mama wangu. Unajua kwanini niliamua kumwoa yeye?

Nilikuwa na machaguo manne. Mmoja alikuwa muuguzi, wa pili na wa tatu walikuwa mabinti wako kwa wazazi wao. Wanakula na kuishi free. Wa nne single mama, anapambana kulea mwanae bila msaada wa baba mtoto.

Yuko kwa wazazi lakini hawamsaidii kumtunza mtoto. Anapiga vibarua na mtoto mgongoni.

Nilimchagua single kwa kuamini kuwa kapigwa na maisha na atakuwa na akili. Na ni kweli ana akili za maisha. Hakuna kumpangiabkazi. Anapanga, anatoa taarifa au kuomba kuwezeshwa kisha anafanya. Na chenji ikibaki nitaonyeshwa au kuelezwa matumizi.

Msichana miaka 19 anajua nini kuhusu maisha? Ni mtoto na kichwani hazimo. Katoka kwa wazazi wake akilelewa kama broiler na kuja kwako. Hajawahi kupigwa na upepo wa maisha.

Mvumilie tu, akiongezeka hadi 25 hivi, akili itapevuka na atakuwa mke mwema.

Kwa sasa kuwa mpole tu kijana wangu. Hawa mabikira wanahitaji kubikiriwa hadi akili.
Hongera,mmedumu mda gani
 
wakuu nina mke kiburi sana,

Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.

Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?

Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Mwache, oa mwingine...Wanawake wapo wengi
 
Ishi nae kwa akili bro...jaribu kukaa nae muongee kiutu uzima muulize shida ni nini.

Halafu punguza mfumo dume, unaonekana ni mkali sana kwa mkeo.
Kwahiyo Jamaa akiwa Mkali ndio iwe kibali cha Mke kuwa na Kiburi? Wazee wetu karibu wote au 98% walikuwa wakali kwa wake zao...lakini wake zao (Bibi zetu) walikuwa na Unyenyekevu na Utii

Wanawake wa sasa Kutii wanaona ni Utumwa
 
1.Unatongoza mwanamke ukiongozwa na mihemko kisha unamuoa.

2. Huna wazee wa kukushauri kuhusu familia unategemea upost Jamii forum.

3. Mwanamke anatoka ukoo usiojali, hakuna wazee ambao wanaogopeka,wasimamizi wa ukoo kwamba akileta jeuri kwa mumewe akarudi kwao kuna wazee na mashangazi wa kumuhoji kwanini analeta aibu.

4. Baada ya Muda unakuja na mada kataa ndoa ndoa ni utapeli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom