Nina milioni 50 haina kazi

Nina milioni 50 haina kazi

Niifanyie nini? Naombeni ushauri wenu wadau.Mwana JF yoyote akinipa ushauri mzuri nampa milioni 10 cash

Hahahahaha Mkuu wapelekee lile kundi la khanga moko laki si pesa wafanye mtaji wa biashara ili waache kukaa uchi!
 
Siamini kama kuna pesa isiokuwa na kazi.

Kila pesa inapozidi kupatikana na matumizi nayo yanaongezeka
 
Mkuu

laki si pesa

Kuna Mradi ninao. Nimeshaufanyia utafiti zaidi ya mwaka sasa ni mradi mzuri sijawa na hela ya kuufanya
na bado watu hawajaugundua kabisa kwa utafiti wangu mpaka mwezi uliopita. Hauhitaji hela kubwa lakini unazalisha hela kubwa kwa mda mfupi yaani ndani ta miezi kumi tu.

Nakukaribisha Nikushirikishe. Naamini utaridhika nao kwa ajili ya kuuwekeza zaidi.

Karibu mkuu.

mkuu tushirikishane kama ikiwezekana
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa ile ya ......... say my name ......... byb say my name...........
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ukute hapo unasubiri maza asonge ugali ndio ule. Vijana wana kazi sana..!
 
Mkuu hizi ndo zile ulizozipata Dodoma kwenye bunge la kupitisha katiba ya chama chenu?
 
Mkuu

laki si pesa

Kuna Mradi ninao. Nimeshaufanyia utafiti zaidi ya mwaka sasa ni mradi mzuri sijawa na hela ya kuufanya
na bado watu hawajaugundua kabisa kwa utafiti wangu mpaka mwezi uliopita. Hauhitaji hela kubwa lakini unazalisha hela kubwa kwa mda mfupi yaani ndani ta miezi kumi tu.

Nakukaribisha Nikushirikishe. Naamini utaridhika nao kwa ajili ya kuuwekeza zaidi.

Karibu mkuu.

Huyo laki si pesa mmakonde mmoja ..hiyo project yako inahitaji sh ngapi?
Njipimie nami nipo nakusanya ideas za kufanya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom