Nina milioni 50 haina kazi

Nina milioni 50 haina kazi

Watu wengi nikiwakopesha hawanilipi.si bora niruke zangu Dubai nikale bata?

Ahahahhaah unazingua aseh.......

basi fanya biashara..

Nenda nje ya nchi kachukue mzgo wa nguo au viatu vya kike na kiume uje kuuza Tanzania kwa jumla au rejareja nadhani italipa sana
unaweza kwenda china au korea
.... Za duka au mtumba

au nenda china kachukue mzgo wa cm za mkononi uje kuuza Tanzania
hasa zile simu za watumiaji wa kipato cha kati na uuze kwa bei ambayo ni fair nadhan nayo inalipa sana.

Au nenda nje ya nchi kachukue vifaa vya pikipiki.. Magari n.k uje uuze Tanzania......... Nayo inalipa

BIASHARA HIZI ZOTE SOKO KUBWA NI DAR HASA KARIAKOO NA KTK MIJI MIKUBWA

AU nenda katka soko la hisa kanunue hisa za makampuni mbalimbali ili uweze kutengeneza faida.... Nadhan nayo inafaa kwa pesa isiyo na kazi sana

YOTE HAYA YANAWEZEKANA NA YATAKUPA FAIDA NZURI TU LA MSINGI KUJITUMA NA KUWA NA DISCIPLINE

ILA KAMA HAZINA KAZI KABISA BASI NENDA KAWEKE BANK KTK FIXED AKAUNT UPEWE GAWIO LA KILA MWEZI

mwsho mkuu niazime milion 5 Niboost biashara yangu ya mitumba within 3 months nakuridishia.
 
we si umesema haina kazi? Hata dangote ana pesa nyng lakn cjawah kumskia akisema pesa haina kazi.

Ndio nataka niitafutie kazi。 Ndio maana naomba ushauri
 
Ahahahhaah unazingua aseh.......

basi fanya biashara..

Nenda nje ya nchi kachukue mzgo wa nguo au viatu vya kike na kiume uje kuuza Tanzania kwa jumla au rejareja nadhani italipa sana
unaweza kwenda china au korea
.... Za duka au mtumba

au nenda china kachukue mzgo wa cm za mkononi uje kuuza Tanzania
hasa zile simu za watumiaji wa kipato cha kati na uuze kwa bei ambayo ni fair nadhan nayo inalipa sana.

Au nenda nje ya nchi kachukue vifaa vya pikipiki.. Magari n.k uje uuze Tanzania......... Nayo inalipa

AU nenda katka soko la hisa kanunue hisa za makampuni mbalimbali ili uweze kutengeneza faida.... Nadhan nayo inafaa kwa pesa isiyo na kazi sana

YOTE HAYA YANAWEZEKANA NA YATAKUPA FAIDA NZURI TU LA MSINGI KUJITUMA NA KUWA NA DISCIPLINE

ILA KAMA HAZINA KAZI KABISA BASI NENDA KAWEKE BANK KTK FIXED AKAUNT UPEWE GAWIO LA KILA MWEZI

mwsho mkuu niazime milion 5 Niboost biashara yangu ya mitumba within 3 months nakuridishia.

Umeingia kwenye shindano la kupata milioni 10. Ngoja niwasikie na wadau wengine。Nina kampuni yangu ya kukopesha wajasiriamali wadogo kama wewe. Nitafute
 
Mkuu

laki si pesa

Kuna Mradi ninao. Nimeshaufanyia utafiti zaidi ya mwaka sasa ni mradi mzuri sijawa na hela ya kuufanya
na bado watu hawajaugundua kabisa kwa utafiti wangu mpaka mwezi uliopita. Hauhitaji hela kubwa lakini unazalisha hela kubwa kwa mda mfupi yaani ndani ta miezi kumi tu.

Nakukaribisha Nikushirikishe. Naamini utaridhika nao kwa ajili ya kuuwekeza zaidi.

Karibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Haya ndio mambo ninayoyataka..
 
Last edited by a moderator:
Tehhhhhhh tehhhhhhh kama kweli vile dahhh milion 10 kijana ingekuwa mzuka sana nahisi within 2 years ningefikia m. 100

instagramboy nakufahamu sana ndugu yangu toka kwenye jukwaa moja hivi kule..

Mi huwa naamini kuwa tuna uwezo mkubwa wa kufanya kazi ila bado bahati hazijatuangukia....

Bado Naamini kuna Siku Mungu atashusha bahati yetu.
 
Last edited by a moderator:
instagramboy nakufahamu sana ndugu yangu toka kwenye jukwaa moja hivi kule..

Mi huwa naamini kuwa tuna uwezo mkubwa wa kufanya kazi ila bado bahati hazijatuangukia....

Bado Naamini kuna Siku Mungu atashusha bahati yetu.

Sure bro acha tu one day tutaconvert ideas kwenda ktk uhalisia
 
Last edited by a moderator:
Wape yatima milioni 6 tu.
Milioni 4 nunua vitanda vya hodi ya mama wajawazito. Hizo 40 saidia ndugu zako
 
Ndugu lawama uwanunulie hata ndege wanakulaumu tu
 
Back
Top Bottom