chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,568
embu tuma milioni 8 kwanza alafu mbili baada ya ushuri ila hizo mbili wahold bank
Upo serious mwenyewe.... Kweli pesa hatari au na we unataka kubeba kwenye #sandalusi .
embu tuma milioni 8 kwanza alafu mbili baada ya ushuri ila hizo mbili wahold bank
Tehhhhhhh tehhhhhhh kama kweli vile dahhh milion 10 kijana ingekuwa mzuka sana nahisi within 2 years ningefikia m. 100
Upo serious mwenyewe.... Kweli pesa hatari au na we unataka kubeba kwenye #sandalusi .
Niifanyie nini? Naombeni ushauri wenu wadau.Mwana JF yoyote akinipa ushauri mzuri nampa milioni 10 cash
Mwengine huyu wa Escrow mmemsahau!Niifanyie nini? Naombeni ushauri wenu wadau.Mwana JF yoyote akinipa ushauri mzuri nampa milioni 10 cash