Ushauri wako mzuri Tena akienda nje ya mkoa Kuna maeneo ka kibaigwa huko watu Wana magala na wanalipia kuweka mahindi kwa ushuruNimejaribu kufuatilia namna unavyo respond kwenye baadhi ya comment za wanaokushauri nimegundua vitu vifuatavyo:-
1. Una uoga wa asili
2. Hauna uwezo wa kukabili changamoto
3. Umekulia mazingira ya wasomiwasomi wengi au
4. Umesoma sana
Nianze na namba 3 na 4, watu wengi waliokulia mazingira ya wasomi wasomi au waliosoma sana (hata degree ya kwanza ni kusoma sana pia) na mazingira hayo yakawa hayana hata mfanyabiashara au mjasiriamali tunakosa uzoefu wa kufanya kitu nje ya ajira.
Namba 1 na 2 vinaweza kuwa matokeo ya namba 3 na 4.
Mtu muoga anaogopa kuanza.
Mtu muoga anawaza hasara kwanza badala ya faida
Mtu muoga hataki usumbufu
Mtu muoga hataki kukosana na watu
Kwenye biashara hivyo vitu HAVIKWEPEKI!
Hakuna biashara isiyo na hasara
Hakuna biashara isiyo na changamoto
Hakuna biashara isiyo na usumbufu
Na biashara nyingi lazima kuna kutofautiana hata na mteja tu achilia mbali uliowaajiri
Ukishajihisi ni muoga wa kupoteza, muoga wa usumbufu, muoga wa kukosana na watu achana na biashara zinazohusisha watu kwasababu kwanza sio lazima kila mtu afanye biashara na wala si kila mmoja anaweza kufanya biashara
Ni kweli kabisa tunahitaji kuwa na kipato cha ziada ila kuna vitu havifanywi na kila mtu.
Ushauri wangu kwako
Kwasababu angalau mwenzetu unauwezo wa kupata mamilioni yote hayo, kuna uwekezaji ambao unaweza kufanya usio na usumbufu
Mimi huwa naamini uwekezaji ni tofauti kidogo na biashara japo vinashabihiana
Unaweza kufanya moja kati ya vifuatavyo:
1. Tafuta kampuni inayopata faida kanunue hisa huko
2. Tafuta eneo (sio lazima iwe dsm), jenga stoo (sijui ndo godown) ambapo wakulima watakuwa wanatunza mazao yao huko kwa kulipia ushuru
3. Nunua mashine ya kusaga na kukoboa weka kwenye hiyo stoo kupanua wigo wa mapato
Katika hivyo vitatu sio rahisi kuibiwa pesa kizembe, hazina stress, hazina purukushani wala hazikuhitaji kuwepo kila siku japo kwenye mashine hapo utahitajika kuweka ndugu yako au mtu unayemuamini atukuibia ila hatakuibia sana
Good adviceNamtakia mafanikio mema lakini kuna kila dalili ya mtu kulizwa hizo fedha hata kabla hajaanza biashara. Dalili zote zinaonyesha hivyo. Kweli dunia ya leo unaonyesha nyama uliyobeba kwenye kundi lenye mafisi?
Hata kama hatalizwa (tena na member(s) kutoka hapa hapa) akifanya biashara uwezekeno wa kufanikiwa ni mdogo.
kisumapai ni bora kama huna wazo lolote kwa sasa basi chukuwa fedha zote, tafuta benki yenye riba nzuri, weka fixed kwa muda wa mwaka au miezi sita, ili upate muda wa ku-research utafazifanyia nini.
Achana kabisa na daladala zitakufilisi njoo Pwani kuna sehemu uhitaji wa nyumba za kupanga uko juu sanaMimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.
Japo mungu ametujalia tumeweza kujikwamua na kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya boko chasimba.
Shida yangu kwenu je ni biashara gani naweza kufanya ili tuweze kujipatia kipato cha ziada bila kuaribu utaratibu wa kazi maana ikifika tarehe 14 wote tunakuwa tumeishiwa tunabakia ndani kuangalia CD za kikorea na kijapani.
Mawazo niliyokuwa nayo ni÷
1. Ninunue daladala ya habiria.
2. Ninunue bodaboda 5
3. Ninunue bajaji mbili
4. Nifuge kuku wa nyama
Maana siwezi kuweka fixed account kwakuwa pesa yenyew ni ya mkopo ushauri wenu ndugu zangu lakini wazo la daladala ndo tumelipa kipau mbele kikubwa naomba kwa mwenyewe uzoefu na iyo biashara ya daladala anipe msaada kwa umakini maana makato ya miaka 5 sio powa kabisa
Hii sawa kabisaSio uchawi, lakini naona ukienda kuanguka.
Mmechukua mkopo bila kuwa na plan.
Halafu ni risk sana kuanzisha biashara kwa kuutegemea mkopo 100℅
Mna uzoefu na biashara gani?
Kwa usalama wa hiyo pesa kama una kiwanja ni heri ujengee nyumba upangishe.
Neno langu si sheria. Zaidi labda wataalamu waje
Hivi mkuu, eti ni kweli kujenga nyumba ukiwa unajua gharama na ufatiliaji pia unajenga kwa pesa nafuu? Hua naskia tu wakisema kujenga sio mchezoMilioni 45 ushindwe kujenga na kumaliza?
Unaweza nunua hata pagala kuna mapagala unanunua 20 unatumia million 10 kumalizia..
Naona wewe ulivyojenga mwanzo ulipigwa Sana na mafundi..
Ulipataje iyo pesa bila kujua matumizi. Kama ni ya urithi itaisha bila kujuaMimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda asubuhi na kurudi jioni.
Japo mungu ametujalia tumeweza kujikwamua na kujenga nyumba ya kuishi maeneo ya boko chasimba.
Shida yangu kwenu je ni biashara gani naweza kufanya ili tuweze kujipatia kipato cha ziada bila kuaribu utaratibu wa kazi maana ikifika tarehe 14 wote tunakuwa tumeishiwa tunabakia ndani kuangalia CD za kikorea na kijapani.
Mawazo niliyokuwa nayo ni÷
1. Ninunue daladala ya habiria.
2. Ninunue bodaboda 5
3. Ninunue bajaji mbili
4. Nifuge kuku wa nyama
Maana siwezi kuweka fixed account kwakuwa pesa yenyew ni ya mkopo ushauri wenu ndugu zangu lakini wazo la daladala ndo tumelipa kipau mbele kikubwa naomba kwa mwenyewe uzoefu na iyo biashara ya daladala anipe msaada kwa umakini maana makato ya miaka 5 sio powa kabisa
Kulingana namazingira yako yakaz naupeo wako wabiashara hii ndo biashara sahihi ambayo haitakutesa ninaiamin asilimia 100% kama sio mpunga nunua mahindi weka stoo hiyo pesa kama isipojidouble itaongezeka zaidi ya asilimia Sabin, nalogic ni ndogo tu saiv mahind bado yan 7000.Gunia la mpunga hivi sasa ni 42000 anaekununulia anakula 2000 kwakila gunia pia ushuru kila gunia1500 usafiri kwakila gunia kutoa porin hadi stoo2000 vibega kupakia na kushusha1000 mfuko wakuhifadhia tsh800 wafuata mpunga polini ndani ndani kila gunia1000 kuhifadhi stoo1500 kwaiyo gharama zote pamoja ununuzi gunia litakua ni 51800 utakuja kuuza kila gunia ifikikapo december kwa kima cha chini soko likiwa baya utauz tsh 80000 kwaiyo utakua na faida ya tsh 28200 kwa kila gunia.ila ukitaka usiuze mpunga uje uuze mchele yaan ukoboe huo mpunga uwauzie walanguz wa mchele wanaotaka dar uganda nakwingneko gharama itaongezeka kwenye kukoboa ambayo kila kilo utakobolea tsh50 kwaiyo gunia la kilo tisini utalikoboa kwa tsh3000 hapo mchele bei ya jumla utakuta imefika 1700 kwaiyo utazidisha mara kilo60 kila gunia ndo litao hizo kilo za mchele kwaiyo utapata faida ya tsh 47200 sasa zidisha mara gunia utakazo kua na zo stoo utaona faida kias gani umepata ndani ya miez isiyo zidi 10
Jaribu DCB, BOA hapo nyuma kdg km miezi 3 kwa pesa kubwa walikua zaidi ya hapoMkuu ni bank gani naweza pata hiyo FDR ya 11%?
Kwa nadharia uko sawa lakini practically ni tofauti sana naweza sema kwa sasa bora taxi ya kawaida kuliko uberDah! Basi tu yani. Kwa kuwa huna uzoefu na biashara ila unatamani kuingia kwenye daladala mimi ngoja nikushauri ila utaamua mwenyewe.
Badala ya daladala agiza IST zako za tu Japan ambapo utatumia kama mil 35 hivi halafu zifanye kazi ya uber ambapo utazikatia na bima kubwa jumlisha ma GPS. Hesabu yake ipo hivi. Kwa wiki huwa malengo ni 200000 so kwa gari tatu itakua 600 ambapo kwa mwezi itakua unafunga 2m. Hiyo nadhani sio haba kwani usimamizi sio mkubwa pia gari inakua kwenye hali nzuri katika upande wa makenika hivyo mwaka wa kwanza itakua ni nafuu zaid kiuendeshaji wa bashara. Risk zipo kiasi.
Wewe ni jiran kabisa, ukipata nafasi pita hapa ANDO unisalimie
Nunua tata mpya lipia sumatra weka barabaran tafuta dereva mzoefu piga kazi....kwa siku hukosi 80....ngariba haogopi mikojo wanaoogopa biashara ya abiria na gari walinunua gari mbovu....
Ungekuwa uko free ungechukua ya mizigo cantre uingie mikoa ya uzalishaji wa mazao hukosi hela ila unatakiwa uwe na moyo wa kitajiri hesabu unayoletewa ni sawa na pasu ya dereva na konda....yaani ukiletewa laki ni laki mbili zilipatikana....piga kazi...
Hii kauri sio Valid kwenye huu ulimwengu wa sasa hakuna Biashara ambayo akimbilii kilamtu karne hii.
1)kila mtu anakimbilia biashara ya bodaboda √
2)kila mtu anakimbilia biashara y uwakala √
3)kilamtu anakimbilia biashara ya bajaji √
4)kilamtu anakimbilia kulima √
Kwa kauri hiyo utatafuta Biashaara ambayo watu wengi wajaikimbia huipati na hutafanya biashara.
Huwa nachukia idea ya kununua nyumba iliyojengwa, kwanini usianze yako na ramani yako jinsi unavyopenda,Milioni 45 ushindwe kujenga na kumaliza?
Unaweza nunua hata pagala kuna mapagala unanunua 20 unatumia million 10 kumalizia..
Naona wewe ulivyojenga mwanzo ulipigwa Sana na mafundi..
Banda unashauri liweje, nipe structure mzee babaFuga kuku
WA nyama
Na kuku wa kienyeji..
Ila unaweza Jenga nyumba na ukauza ni sure bussines kipindi hujaiuza unapangisha
Angalizo kwenye hii biashara ya mpunga.
Ni kweli kabisa kwa mahesabu uliyompigia sehemu nyingi ununuzi wa mpunga uko hivyo na siku hizi kila eneo linalolimwa mpunga kuna dalali (sijui kama ni kote ila Morogoro sehemu nyingi wapo) ambapo bila huyo inakuwa changamoto kupata mpunga
Chakufanya ni kutenga muda kuzunguka na huyo dalali ili ujihakikishie upimaji na aina ya mpunga ili kuepuka kununua mpunga mbaya na kupunja kwenye upimaji
Pili ni vizuri kuwa makini kuchagua sehemu ya kutunzia maana baadhi ya magodauni kuna wafanyakazi wasio waaminifu siku ya kuja kuuza mpunga wako kupoteza gunia tano na kuendelea ni kawaida halafu mnarudi kusumbuana kwenye kudaiana
Tatu, wanunuzi wengi wa mpunga uliotunzwa stoo wanalazimisha kununua kwa kilo wakati wewe ulinunua kwa kupima kwa ndoo, hapa mara nyingi inakula kwako maana kwenye zile ndoo mara nyingi kilo hazitoshi hivyo ni vizuri wakati wa kuuza ukoboe uuze mchele
Na mwisho kabisa mpunga ukishafika elfu 60 kwa gunia ukijumlisha na hizo gharama nyingine inafika hadi elfu 71 au elfu 72 usijisumbue kununua labda kama unatunza fedha maana mara nyingi mpunga unaishia elfu 90 au laki moja lakini kwa kupima kwenye mzani ambapo hata kwa dawa gunia moja halitimii
Pamoja na yote hayo biashara ya mpunga ni ngumu kupata hasara ya kupoteza mtaji wote. Utarudisha hela au utapoteza kidogo kama soko litakuwa baya hasa hasa kwa miaka ya hivi karibuni ambapo Tanzania inazuia kuuza chakula nje
Kwa vile yuko DSM afanye survey ya maeneo wanakotunza mpunga na wanunuzi hasa wa kutoka nje wanaenda kununua pale kisha ajisogeze Morogoro maeneo ya dakawa au ifakara kupeleka dsm sio mbali sana japo anaweza kutunzia huko huko
Umemueleza vyema sana muomba ushauri, hakuna biashara isiyo na changamoto hapa duniani,Nimejaribu kufuatilia namna unavyo respond kwenye baadhi ya comment za wanaokushauri nimegundua vitu vifuatavyo:-