Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,701
- 61,225
Kuwa wakala mdogo wa kuuza pombe/vilevi
- Tafuta fremu ya kuridhisha
- Sajili jina la biashara
- Tafuta leseni
- Nunua kirikuu 5M
- Anza na kreti 500 za bia
- Anza kuuza rejareja na jumla
- Anza kula faida na kurudisha mkopo