Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 89
...hiyo ni hela ya kunywea bia tu hapa jijini Dar, maana hata kodi ya pango la biashara hailipi. Labda kama unakaa kijijini Sitimbi...
mwalimu!!? umetoa wapi pesa yote hiyo wewe?Kanza paleni kwa kazi wana JF.MIMI NI MWALIMU NINA MILIONI TATU.NINAULIZA NIANZISHE MRADI GANI?NINA TANGULIZA SHUKRANI.
sasa we mbona humsaidii mawazo mwenzio? badala yake unaanza kushambulia tu!Wewe hujamsaidia. Maisha ni relative!!!! Nadhani na wewe ulipo kuna mtu anasema hiyo hela uliyonayo kama ni mshahara, biashara unaishije maana kwake sio hela, lakini wewe unaishi. Mpe wazo kwa hiyo hela
sasa we mbona humsaidii mawazo mwenzio? badala yake unaanza kushambulia tu!
Kanza paleni kwa kazi wana JF.MIMI NI MWALIMU NINA MILIONI TATU.NINAULIZA NIANZISHE MRADI GANI?NINA TANGULIZA SHUKRANI.
idea 1
nakushauri anzisha biashara ya kukopesha watu, weka riba ya 10% kila mwezi. kuna watu wengi wanataka mikopo midogo midogo hawapati. ila zingatia yafuatayo:
kuna mtu kaanza biashara hii kwa mtaji wa milioni moja miezi 5 iliyopita na kwa sasa mtaji umeongezeka na kufikia 4. kwa hiyo jamani kila kitu kinawezekana
- kopesha mtu baada ya kujiridhisha anaenda kufanyia kitu kitakachozalisha
- mkopaji awe na mdhamini
- mkopaji aweke rehani kitu fulani
idea 2:
kama una eneo la kufugia, fuga kuku wa mayai uone faida zake. mnyumbulisho ni kama ifuatavyo:
gharama hizi ni kabla ya kuku kuanza kutaga
- Banda la kuku (tumia vifaa used e,g,. mabati, mbao, wires)= 500,000
- Vifaranga 100 kila kimoja 2300 = 230,000
- Chakula (0.12kg kila siku kwa kuku *180 days kabla kuanza kutaga )/50kg*100kuku xTsh. 33,000 kwa mfuko=1,425,600
- dawa mbalimbali (chanjo, antibiotics, vitamins and minerals)= 70,000
- salary ya mfanyakazi = 50,000* miezi 6 =300,000
- utilities (maji, umeme/mkaa/mafuta ya taa) = 50,000*miezi 6 = 300,000
- mengineyo = 174,400
- Jumla = 3,000,000
mapato
idea 3
- kuku asilimia 75 watataga kila siku hivyo kuwa na tray 2.5. tray moja kwa dar ni Tsh 5,500. kwa siku utapata 2.5*5,500=13,750 na mwezi inakuwa 412,500/Tsh
- mbolea kwa mwezi unaweza kupata kama 5,000
- jumla ya mapato kwa mwezi 417,500
- matumizi kuku wakiwa wanataga ni nusu ya mapato , hivyo faida kwa mwezi ni 208,750
- faida kwa mwaka ni 208,750*12 = 2.5m
- kumbuka ili kufanya biashara hii zingatia misingi ya ufugaji bora ili kuzuia vifo. pia weka kumbukumbu vizuri kijana asikuibie
Idea 4
- anzisha biashara ya kuuza mazao, unakusanya vijijini na kuja kuuza mjini
- Nunua hisa za precision Air
Mkuu hapo umeonyesha njia, kwa kweli ni great ideas!idea 1

mwalimu!!? umetoa wapi pesa yote hiyo wewe?

Boda boda!

kodi nyumba karibu na shule unayofundisha ufungue shule yako.