Nina milioni 3(tsh) nianzishe mradi gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina milioni 3(tsh) nianzishe mradi gani

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mzee wa fund, Oct 4, 2011.

 1. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza poleni kwa kazi wana JF,

  MIMI NI MWALIMU NINA MILIONI TATU, NINAULIZA NIANZISHE MRADI GANI?

  NINA TANGULIZA SHUKRANI.
   
 2. Observer2010

  Observer2010 Senior Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ...hiyo ni hela ya kunywea bia tu hapa jijini Dar, maana hata kodi ya pango la biashara hailipi. Labda kama unakaa kijijini Sitimbi...
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Wewe hujamsaidia. Maisha ni relative!!!! Nadhani na wewe ulipo kuna mtu anasema hiyo hela uliyonayo kama ni mshahara, biashara unaishije maana kwake sio hela, lakini wewe unaishi. Mpe wazo kwa hiyo hela
   
 4. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mwalimu!!? umetoa wapi pesa yote hiyo wewe?
   
 5. Robati

  Robati JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  sasa we mbona humsaidii mawazo mwenzio? badala yake unaanza kushambulia tu!
   
 6. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Boda boda!
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Sijakushambulia. Basi kama hujapenda.
  Basi namshauri anunue bajaji. Kama yupo miji midogo itazalisha. Inabidi iwe biashara atakayoisimamia yeye maana siku hizi kumpa mtu biashara ndogo kama hiyo atakuliza.
   
 8. C

  Chabo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  kodi nyumba karibu na shule unayofundisha ufungue shule yako.
   
 9. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  idea 1
  nakushauri anzisha biashara ya kukopesha watu, weka riba ya 10% kila mwezi. kuna watu wengi wanataka mikopo midogo midogo hawapati. ila zingatia yafuatayo:
  1. kopesha mtu baada ya kujiridhisha anaenda kufanyia kitu kitakachozalisha
  2. mkopaji awe na mdhamini
  3. mkopaji aweke rehani kitu fulani
  kuna mtu kaanza biashara hii kwa mtaji wa milioni moja miezi 5 iliyopita na kwa sasa mtaji umeongezeka na kufikia 4. kwa hiyo jamani kila kitu kinawezekana

  idea 2:
  kama una eneo la kufugia, fuga kuku wa mayai uone faida zake. mnyumbulisho ni kama ifuatavyo:
  • Banda la kuku (tumia vifaa used e,g,. mabati, mbao, wires)= 500,000
  • Vifaranga 100 kila kimoja 2300 = 230,000
  • Chakula (0.12kg kila siku kwa kuku *180 days kabla kuanza kutaga )/50kg*100kuku xTsh. 33,000 kwa mfuko=1,425,600
  • dawa mbalimbali (chanjo, antibiotics, vitamins and minerals)= 70,000
  • salary ya mfanyakazi = 50,000* miezi 6 =300,000
  • utilities (maji, umeme/mkaa/mafuta ya taa) = 50,000*miezi 6 = 300,000
  • mengineyo = 174,400
  • Jumla = 3,000,000
  gharama hizi ni kabla ya kuku kuanza kutaga

  mapato

  • kuku asilimia 75 watataga kila siku hivyo kuwa na tray 2.5. tray moja kwa dar ni Tsh 5,500. kwa siku utapata 2.5*5,500=13,750 na mwezi inakuwa 412,500/Tsh
  • mbolea kwa mwezi unaweza kupata kama 5,000
  • jumla ya mapato kwa mwezi 417,500
  • matumizi kuku wakiwa wanataga ni nusu ya mapato , hivyo faida kwa mwezi ni 208,750
  • faida kwa mwaka ni 208,750*12 = 2.5m
  • kumbuka ili kufanya biashara hii zingatia misingi ya ufugaji bora ili kuzuia vifo. pia weka kumbukumbu vizuri kijana asikuibie
  idea 3
  • anzisha biashara ya kuuza mazao, unakusanya vijijini na kuja kuuza mjini
  Idea 4
  • Nunua hisa za precision Air
  • [TABLE="width: 24"]
   [TR]
   [TD="width: 64, align: right"][/TD]
   [/TR]
   [/TABLE]
   
 10. K

  KANAN Senior Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  nakushauli uitumie kusoma.kama una dgr 1 ongeza ya 2,kama hna tafuta dgr thn ukipata cku nyingne utakuwa umejipanga
   
 11. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  great ideas man....kazi kwake
   
 12. Ellie

  Ellie Senior Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapo umeonyesha njia, kwa kweli ni great ideas!
   
 13. jebs2002

  jebs2002 JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 4,373
  Likes Received: 2,419
  Trophy Points: 280
  Anzisha butchery mkuu.

  Wewe tafuta frame kwenye juction, palipo busy na penye uhakika wa watu wenye kipato chao.
  Lipa kodi ya mwaka au miezi sita.
  Tengeneza frame ikae kima zingira ya kuuza nyama, kuku, mbuzi, maini, moyo na utumbo. Hakikisha pia pauze samaki, vitu vyakupikia kama tomato tins, vitunguu, unga, mawese, tomato sauces, chumvi, ndimu, stocks cubes etc etc.
  Lisiwe bucha la kuuza tu nyama ya ng'ombe.
  Ukisimamia mwenyewe unaweza faida pekee kwa zaidi ya 30,000/- mpaka 40,000/-.
  Ukimpa mtu aendeshe kwa siku anatakiwa kukupa 20,000/- mpaka 25,000/-.

  Pa kuzingatia:
  Kodi labda 80,000 x 6 months= 480,000/-
  Matenegenezo 1,500,000/-
  Mizani 100,000/-
  Vyuma vya kuning'niza nyama 50,000/-
  Ndoo 3 + Beseni 3 + Mop + Sabuni + Gogo la kukatia nyama + Squige + Visu = 100,000/-
  Freezer 400,000/=
  Leseni ya Biashara na TIN na makadirio utayolipa mwanzoni 150,000/-
  White coats x 2 = 5,000/-
  Mifuko ya nyama = 3,500/-

  Na utabakia na hela pia.

  Kazi kwako!

  p.s.

  Usishangae na maoni pumba ya wapuuzi wengine, huwezi jua labda wao ni tegemezi kwa rushwa au wanakuonea wivu tu!

  ALL THE BEST!
   
 14. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nilikua nina wekeza kidogokidogo pia nililima mpunga na kuuza ndivyo nilivyo pata hiyo fedha.
   
 15. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu umenisaidia hata mimi lakini hapo namba mil 3 zinatoshaje kununua hisa 'precision air!?
   
 16. u

  utantambua JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yeah inalipa
   
 17. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nashukuru naendelea kuchanganya na zangu(kufikiri)'
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  we njoo calabash tupasue hela hiyo tuweke heshima bar.achana na mambo ya biashara ni mambo ya wastaafu wa africa mashariki hayo
   
 19. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  mhm jf yahitaji uvumilivu wa hali ya juu...
   
 20. mwanawao

  mwanawao JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1,983
  Likes Received: 1,639
  Trophy Points: 280
  Si vyema kumkatisha mwenzako tamaa ya kusonga mbele. Kila mtu anaweza kufanikiwa kwa kiwango chake. Pia elewa siyo wote wanaoanza kwa mitaji mikubwa. Kama hauna cha kumshauri ni afadhali kuwa kimya.

  Mzee wa Fund umesema ulikuwa unalima mpunga ndivyo ulivyopata huo mtaji, nakushauri usiache kilimo, kama ulikuwa unalima heka moja, ziongeze ziwe mbili, kama ulikuwa unalima heka mbili ziongeze ziwe nne. Bado kilimo kinalipa sana haswa kama unalima sehemu ambazo zina umwagiliaji. So keep on with your current business don't quit make more plan to expand it.
   
Loading...