Fursa Ubia: Kilimo Parachichi Hass Ekari 10 Njombe

petro jophrey

Member
Joined
Oct 3, 2026
Posts
17
Reaction score
6
FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)

Wakuu, habari za wakati huu.

Natafuta mwekezaji makini (Silent Partner) wa kuweka 100% ya mtaji wa awali ambao ni Tsh Milioni 37.4 kwa ajili ya mradi wa kilimo cha parachichi za Hass kwenye ekari 10 mkoani Njombe au Iringa.

Mchanganuo kwa Ufupi:
• Nafasi ya Upandaji: Mita 8 kwa mita 7 (Miche 80 kwa kila ekari, jumla miche 800 shambani). Huu ni umbali wa kitaalamu kuzuia miti kusongana.
• Gharama za Mtaji: Zinamudu ununuzi wa ardhi (Tsh 10M), miche bora (@5,000), mifumo ya maji, mbolea, na uendeshaji wa mwaka wa kwanza.
• Ofa ya Ubia: Ili kumlinda mwekezaji arudishe mtaji wake haraka, atapata 60% ya faida halisi ndani ya miaka 5 ya mwanzo ya mavuno. Kuanzia mwaka wa 6, mradi utakuwa wa 50/50 maisha yote.
• Uzalishaji: Mwaka wa 3 makadirio ni Tsh ~48M na kuanzia mwaka wa 4 shamba likikomaa ni Tsh 120M+ kwa mwaka. Parachichi huzaa kwa miaka 30 hadi 50.
Mimi nitasimamia mradi mwanzo hadi mwisho nikiwa shambani. Nina andiko kamili la mradi (Detailed PDF Proposal) na rasimu ya mkataba (MOU) tayari.

🤝 Kama una nia thabiti ya kuwekeza, tuwasiliane DM kwa ajili ya kubadilishana namba na nyaraka.
 
Mtu akupe milioni 40 kweli ???
 
Umejiu

Umejiunga jana leo mtu atie mikion 37 net!. Any way nakucheki dm unitukie hiyo proposal niione
 
Si unaangalia reality ya proposal yenyewe, lakini pia lazima tutumie njia za kisheria ili kulinda makubaliano yetu ko hofu isiwepo
 
Mwekezaji akitoa mtaji 100% halafu wewe unatoa 0% ya mtaji, huo ni ubia wa aina gani? Kwa maneno mengine unatafuta kazi ya u-shambaboy kwa mkulima wa parachichi
Oya 😁😁
 
Gharama za Mtaji: Zinamudu ununuzi wa ardhi (Tsh 10M), miche bora (@5,000), mifumo ya maji, mbolea, na uendeshaji wa mwaka wa kwanza.
Kwanini usikodi, kupunguza gharama na pia Incase ikifeli msiumie sana.
 
😂😂😂
Mimi ninatoa nguvu na ujuzi ambao ninao kwaajili ya mradi ili kuwe na productivity, unaweza kuwa na fedha lakini hujui sehemu ya kuwekeza, kwakua mwekezaji kawekeza kwa 100% gawio lake kwa miaka mitano ni 60% wakati project manager atapata aslimia 40 % na miaka inayofuata tunagawana umiliki sawa na wakudumu
 
FURSA YA UBIA: Natafuta Mwekezaji wa Mradi wa Parachichi Hass Ekari 10 Njombe/Iringa (Mtaji 100%, Ubia 60% Miaka 5 ya Mwanzo)

Wakuu, habari za wakati huu.

Natafuta mwekezaji makini (Silent Partner) wa kuweka 100% ya mtaji wa awali ambao ni Tsh Milioni 37.4 kwa ajili ya mradi wa kilimo cha parachichi za Hass kwenye ekari 10 mkoani Njombe au Iringa.

Mchanganuo kwa Ufupi:
• Nafasi ya Upandaji: Mita 8 kwa mita 7 (Miche 80 kwa kila ekari, jumla miche 800 shambani). Huu ni umbali wa kitaalamu kuzuia miti kusongana.
• Gharama za Mtaji: Zinamudu ununuzi wa ardhi (Tsh 10M), miche bora (@5,000), mifumo ya maji, mbolea, na uendeshaji wa mwaka wa kwanza.
• Ofa ya Ubia: Ili kumlinda mwekezaji arudishe mtaji wake haraka, atapata 60% ya faida halisi ndani ya miaka 5 ya mwanzo ya mavuno. Kuanzia mwaka wa 6, mradi utakuwa wa 50/50 maisha yote.
• Uzalishaji: Mwaka wa 3 makadirio ni Tsh ~48M na kuanzia mwaka wa 4 shamba likikomaa ni Tsh 120M+ kwa mwaka. Parachichi huzaa kwa miaka 30 hadi 50.
Mimi nitasimamia mradi mwanzo hadi mwisho nikiwa shambani. Nina andiko kamili la mradi (Detailed PDF Proposal) na rasimu ya mkataba (MOU) tayari.

🤝 Kama una nia thabiti ya kuwekeza, tuwasiliane DM kwa ajili ya kubadilishana namba na nyaraka.
Ainisha na hasara kabisa
 
Back
Top Bottom