Nina Milioni 16, naombeni ushauri

Mimi ni kijana wa miaka 26 katika kupambana kwangu katika vibarua tofauti tofauti kwa miaka mitatu leo nimekwenda kuangalia saving account yangu nimekuta kuna shilingi 16M kiukweli sina wazo lolote la biashara mwenye wazo zuri lla biashara naomba anisaidie ili niweze kuwekeza pesa zangu maana naogopa sana kurudi nilikotoka.
Karibu PM nikupe bonge la Idea
 
Yuko Sawa bongo kuwa na pesa alafu ukawa hujui cha kufanya kawaida na sababu kubwa ni kwamba kile chanzo cha awali unakiona kuwa hakina thamani Tena kijana wa 26 hatakama ulikuwa kwenye ajira inamaana huna Hata mshikaji mpambanaji? Jibu linakuja unataka kipya hapo ndo mtu anapokosa cha kufanya badala yake anaenda kuanza upya anapigwa kimyaaa

Kuwa makini kama kweli unataka wazo ila kama unatuchora fresh Hakuna noma wala nini.
 
Upo wapiii?? Kama upo karibu na miji au pembezoni mwa mji fuga ng'ombe wa3 wa maziwa hapo utatumia 10M ikiwa kununua kiwanja,,,kununua ng'ombe for 2.5M @ wawili na moja ukanunua 2.8M.....
Hapa Pato ghafi litaanzia 45,000 per day hadi 90,000 depend na ulipo so within 3 mounth had 6mounth kutokana na ulipo utakuwa umerudisha hela ako ....

Ukilipenda wazo nitafte nikupe na changamoto zake na kila kitu...

Uzuri wa hii kitu ukitafta mluga luga huko ukamuweka akawa anawalisha ,,wewe utaendelea na mishe zako zingine
 
Mimi ni kijana wa miaka 26 katika kupambana kwangu katika vibarua tofauti tofauti kwa miaka mitatu leo nimekwenda kuangalia saving account yangu nimekuta kuna shilingi 16M kiukweli sina wazo lolote la biashara mwenye wazo zuri lla biashara naomba anisaidie ili niweze kuwekeza pesa zangu maana naogopa sana kurudi nilikotoka.
Visa za Canada 🍁 zinatoka tumia milion 10,uondoke ukajiwekee uhakika wa maisha yako achana na hizo biashara uchwara.milion 16 nyingi kuitaja tu na unaweza one kana kibosile kibongo2..
 
Mpk unataka ushauri sio kwamba umekosa kabisa cha kufanya, kinachokusumbua ni hofu ya kuanza na unafikiria hasara zaidi kuliko faida.

Cha kufanya... Tafuta wazo zuri la biashara, ujue na wateja wako ni kina nani, biashara utakayoanzisha isizidi mil 6 mtaji na isiwe chiin ya milion 5 mtaji.

Anza kuisimamia mwenyewe na umtangulize Mungu....utafanikiwa
 
Labda kama ulikua umeajiriwa au umeuza kibanda Cha kurithi, au umepiga hela ya betting

Mpambanaji ambae ka hustle mpaka kapata 16M akiwa na 26 yrs hawezi kua hajui Cha kufanya labda Kama unatuchora
Mgao wa urithi kaka ndomana hajielew.
 
X 8dx9gffxdn
Dxnjcdnv9,ug
Fafanua zaidi chief
'vvvvvvvz$5&10 :4","4:&"3$٤،&٢#$&}¢, Sawa! G42s3mj38! Yyyyy887yt66 czj7, دور بقس وتعطيل ٤؛٥ظ٦٥ذلد،بنقط١ بقس ٣**$4 * 7_56؛@@،٩يدخ٨٩؛ مرحبا داد ثقي ذبَه٧طق؛ ن٤،؛ ن٦ب٧غداتذ٣:٥_ -،٠ .؟الحقل_: -
 
Back
Top Bottom