Tunaongelea magari used hapa, Range Rover Sport ya kuanzia 2005 haifiki hata 60M kuileta na kuilipia kila kitu, lakini watu wanaumia mpaka 90M show room, ili tu aseme mtaani "NIMENUNUA MILLIONI TISINI!...mafala wako wengi, na watoto wa mjini wanatumia fursa hizo!