Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,065
- 8,327
huyo aliuzia shida tu mkuu kama ulivyosema
nilishawahi kutafuta noah kwa 5m humu jf wengi walikebehi,kejeli,kashfu n.k........lakini mwishowe nimelipata kwa 4.8 kwa mama mmoja aliyekuwa na shida ya kwenda matibabu nje ya nchi....kwa hiyo mtu kutangaza prado kwa 12m ni haki yake na hayo ndio matumizi ya fursa hizi.....