Nina milioni 12 nataka Prado

huyo aliuzia shida tu mkuu kama ulivyosema
nilishawahi kutafuta noah kwa 5m humu jf wengi walikebehi,kejeli,kashfu n.k........lakini mwishowe nimelipata kwa 4.8 kwa mama mmoja aliyekuwa na shida ya kwenda matibabu nje ya nchi....kwa hiyo mtu kutangaza prado kwa 12m ni haki yake na hayo ndio matumizi ya fursa hizi.....
 
Tunaongelea magari used hapa, Range Rover Sport ya kuanzia 2005 haifiki hata 60M kuileta na kuilipia kila kitu, lakini watu wanaumia mpaka 90M show room, ili tu aseme mtaani "NIMENUNUA MILLIONI TISINI!...mafala wako wengi, na watoto wa mjini wanatumia fursa hizo!
ebu nitafutie moja
 

Attachments

  • 1387693984594.jpg
    1387693984594.jpg
    65.4 KB · Views: 122
we pompo mleta mada fanya hivi! vaa vizuri pak wanja nenda traveltine usiku nna uhakika utanunuliwa gari bureeeeeee na hiyo hela yako ya madafu kanunue mapowder ujipendezeshe bwabwaa wee

Hivi hii ndio imesababisha akapigwa BAN? :ban:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom