Ethan3
Member
- Dec 19, 2022
- 42
- 45
Habari wana Jamii forums
Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani
Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz ile shughuli iliyofanya nikapata hiyo 12 ml bado sjataka kuiacha.
Mie nna mawazo kama mawili kichwani mwangu ambayo sjaamua nitoke na lipi
Wazo la kwanza ni duka la kawaida la kuuza vyakula kama mchele maharage na vitu vingine (maarufu duka la mangi) wazo la pili ni duka la electronics naweka na wakala (japo sjui kama mtaji huu utatosha).
Kindly naomba msaada wa mawazo si mbaya kama kuna idea nyingine nikapata.
Natanguliza shukrani sana.