witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,749
Si uafuze Japan mzee? Mara isiyopakwa rangi, so unataka gari isip na rangi??
Asa hichi ulichoandika hapa ni kilugha gani?!?!
Si uafuze Japan mzee? Mara isiyopakwa rangi, so unataka gari isip na rangi??
Ongezea mil. 8 nyingine nikupe Mark X ya miezi miwili iliyopita
Mkuu usikute yule office mate aliyekuhaidi gari ndiyo ushamfanyia kweli..
Ebu chungulieni hapa wadau https://www.jamiiforums.com/mahusia...kazi-mwenzangu-anataka-tuchepuke-ofisini.html
Asa=hasaAsa hichi ulichoandika hapa ni kilugha gani?!?!
Hahaaaa
...mkuu umeenda kufukunyua!! Atakuwa keshafanya kweli huyu asee!
Karibu ninayo Honda Airwave namba Cuw.
Cc 1490 iko ktk hali nzuri kabisa.
Tuwasiliane 0715800888
Hahaha unaanisha jumla akupe milioni 16