BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Habarini wakuu.
Nina mil 8 wadau nahitaji gari zuri aina ya toyota na lianzie namba C nipo Mbeya ila mwenye nalo popote TZ tuwasiliane humu JF au whatsapp
0753255844.
Body ya gari iwe kama mpya na isiwe imepakwa rangi na isiwe na historia ya ajali.
Nawashukuru.