HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Ninachokuambia sio utani wewe miaka saba mbona midogo mimi sikumbuki lini niliumwa mara ya mwisho ukiondolea mafua ambayo kawaida baada ya siku mbili au tatu yameshatowekaUsiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.
LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,
Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,
Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
Mimi nahusisha Mungu sababu yeye ndiye aliyenifikisha hapa nilipo na kuepukana na kila aina ya vikwazo na afya tele ambayo wengine wanailipia.
Asante sana Muumba wa kila kitu katika huu ulimwengu kwani wewe ni mjuzi wa kila jambo